Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Screenshot_20220925-160344.jpg
 
Wewe Mkoa mpaka unaundiwa kanda maalumu maama yake umeshindikana.Hapo wa kuwajibishwa ni RPC,OCD,DSO nk,lakini hao wakubwa waliotajwa labda wajiuzuru wao kwa makosa ya watendaji wao wa chini Kama Mzee Mwinyi alivyofanya wakati akiwa Waziri wa mambo ya ndani.
 
Samia kichwa ngumu Sana. Angekuwa anasikiliza ushauri Mwigulu, Masauni, Sagini, n.k wangekuwa raia wa kawaida muda huu
 
Samia kichwa ngumu Sana. Angekuwa anasikiliza ushauri Mwigulu, Masauni, Sagini, n.k wangekuwa raia wa kawaida muda huu
Na wewe ungekuwa Nani? Nyambaffff zako, mna kazi ya kumpangia raisi kuwaondoa wale ambao hamuwapendi kwa sababu zenu za kipumbavu. Raisi sio mjinga
 
Hawezi fanya hivyo.

Wanaofukuzwa ni wale tu kambi ya mwendazake.

Hao wengine tusipoteze muda wetu kuzungumza tuendelee kulipa tozo tu.

Na kusikilizia miradi ya awamu ya nne.
 
Back
Top Bottom