Sarakasi za NCCR MAGEUZI: James Mbatia avuliwa Uanachama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,995
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kwamba kinachoitwa Mkutano Mkuu wa dharura wa NCCR MAGEUZI, ulioongozwa na Joseph Selasini umemvua uanachama na kumfukuza James Mbatia na Makamu wake .

Hayakutolewa maelezo zaidi .

Chanzo : Mwananchi

===============

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nccr Mageuzi wamepitisha azimio la kumvua Uwenyekiti aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia na kumfukuza uanachama wa chama hicho, Mkutano huo umefikia maamuzi hayo katika kikao chake kilichofanyika mapema leo asubuhi Jijini Dodoma.

Aidha, wamemvua umakamu uenyekiti Bara Angelina Rutaigwa
 
duh! muda mchache mambo milioni!

tozo kuhamishiwa kwingine kijanja, bondia wa taifa "mtu kazi" Mandonga kuua mtu leo Nangwanda Sijaona Arena , hela zetu tr 360 toka Barrick kupaa mawinguni, denda la Mr Nyusi za kubandika mwenge kwenda kwa Bimkubwa , Demu Barabara na uteuzi Caf, Inonga wa ndondo akicheza ndombolo huko DRC all stars, Yanga kuipasua al hilal aggregate 10 - 0, panya road kudaiwa kuuwawa na manjagu !! mbatia mwenyenyumba kutolewa nduki na wapangaji, tushike lipi?
 
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kwamba kinachoitwa Mkutano Mkuu wa dharura wa NCCR MAGEUZI, ulioongozwa na Joseph Selasini umemvua uanachama na kumfukuza James Mbatia na Makamu wake .

Hayakutolewa maelezo zaidi .

Chanzo : Mwananchi

===============

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nccr Mageuzi wamepitisha azimio la kumvua Uwenyekiti aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia na kumfukuza uanachama wa chama hicho, Mkutano huo umefikia maamuzi hayo katika kikao chake kilichofanyika mapema leo asubuhi Jijini Dodoma
Hii ccm inarupeleka guzani
 
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kwamba kinachoitwa Mkutano Mkuu wa dharura wa NCCR MAGEUZI, ulioongozwa na Joseph Selasini umemvua uanachama na kumfukuza James Mbatia na Makamu wake .

Hayakutolewa maelezo zaidi .

Chanzo : Mwananchi

===============

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nccr Mageuzi wamepitisha azimio la kumvua Uwenyekiti aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia na kumfukuza uanachama wa chama hicho, Mkutano huo umefikia maamuzi hayo katika kikao chake kilichofanyika mapema leo asubuhi Jijini Dodoma.

Aidha, wamemvua umakamu uenyekiti Bara Angelina Rutaigwa
Bado Mbowe
 
Hapo sema Mbatia ameondolewa na serikali(msajili) kwa kushirikiana na wahuni wachache waliouza vuchwa vyao kwa pesa za kula kande wiki 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom