Amani
Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe.
“Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya...
kila siku kusema chama ni kama cha China je nmaweza kufanya haya kwa mtu wa CCM?
Lakini hii serikali inaweka waislamu kwenye kambi maana wanataka kila mtu awa abudu wenyewe yaani Chama. Idadi...
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao...
Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia.
Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza...
Waziri wangu Ummy Mwalimu, pole kwa majukumu. Nina la Kushauri juu ya bima ya afya kuwa Lazima. Kabla Sheria haijasainiwa na raisi basi ninaomba kuweka neno.
Ukweli ni kuwa bima ya afya ni...
Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele...
Habari! natumaini ni wazima wa afya.
Kumekuwa na vitendo vinavyo leta maswali katika jamii ya watu walioelimika ukiachana na hawa wafata mkumbo ambao ndio wengi katika Taifa hili.
Je, polisi...
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.
Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.
Wito huu ni kwa...
Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha...
Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka...
Mara nyingi waungwana huwa wanaona kwa jicho la mbali, baada ya kuondolewa Mh. mbatia Pale NCCR wapo tuliojua nini kitafata kwenye vyama vingine kwa bahati mbaya wanataka kutumia njia hiihii...
Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?
Halafu mnakuja mnalalamika...
Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa...
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba na mwenzie wa Falme za Kiarabu wametiliana saini mkataba wa kuondoa Utozaji Kodi mara mbili.
Waziri Dr Mwigullu na Naibu Katibu Mkuu Mafuru ambao wako Falme za...
Na. Eva Valerian, WFM- Dodoma
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameliomba Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani – USAID, kuelekeza kiasi cha msaada...
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.