Leo wananchi tumesikia kile kilichoitwa kuondoa na kupunguza tozo, kama Serikali ilivyofafanua kupitia waziri wake wa Fedha, Bwana Mwigulu.
Ukweli kilichofanyila ni ubabaishaji. Serikali...
Mtanisamehe!
Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo...
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako...
Waziri wa Mazingira Dr Jafo amesema utabiri wa hali ya hewa unaonyesha maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za msimu chini ya 50%
Dr Jafo amesema hii imesababishwa na Jamii kushindwa kulinda...
Mbulu wamfurahisha Bashungwa utekelezaji wa miradi
Na Angela Msimbira
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Halmashauri ya...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi
Mbatia aliwafukuza mzee...
Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.
Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"
Mungu wa mbinguni...
Kwamba Waziri anaitia serikali hasara kubwa, na nchi uzorotaji wa kimaendeleo ya teknolojia na ya watu... anaoteshwa, anabadilisha, na anaendelea na kazi!
Kabla ya tozo, sekta ya 'fedha...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Bima ya afya ni lazima kea mujibu wa Mapendekezo ya serikali Bungeni lakini hakuna Mwananchi atakamatwa au kufungwa kwa kutokata Bima
Ummy amesema ili kupata...
Wanabodi,
Ninapo sema shangwe na vigelegele kwa miradi ya kimkakati ya maendeleo ya serikali ya awamu sita nina maanisha shule, vituo vya afya, stendi mbalimbali, miradi ya maji na mengine yote...
Uhalifu hauna msamaha wala kusingizio. Haipo sababu inayoweza kuuhalalisha. Uhalifu utabakia kuwa hivyo bila kujali ni nani afanyaye uhalifu huo.
"Kumwua mtu kwa makusudi hakukubaliki."
Ni...
Kama Vyama hohehahe kama akina TLP, akina CUF na NCCR wamemiliki mashamba na Maghorofa ni wazi Chama cha mabepari Chadema kinamiliki mali nyingi.
Hata CCM kama siyo yule Shujaa hadi leo...
Ashakum si matusi polisi Mara:
Kwa kutuona je vile?
Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao.
NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
Tunakumbushana tu ukiwa mroho usiwe mchoyo na ukiwa Janjajanja usiwe msahaulifu
Vyama vya Upinzani vinadumazwa na Ubinafsi wa viongozi wake
Mbatia ni mwenyekiti miaka 20+
Mbowe ni mwenyekiti...
Serikali yoyote duniani Ina kitengo cha uuaji!
Kitengo rasmi Cha kuwashughulikia wahuni, wenye kuhatarisha usalama wa raia, amani ya Nchi, au wenye kuhatarisha mustakabali na utulivu wa serikali...
Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga...
Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.