Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

Lucas mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
4,007
1,776
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,

Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa, Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,

Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao.

Wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.

Hongera sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,

viongozi watakao juwa uongozi ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi

Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
 
Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,207
1,568
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya watanzania ,huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,

Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa , Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,

Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao,

wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.

Hongera Sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,

viongozi watakao juwa uongozi Ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi Ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi

Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani

Lucas mwashambwa kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Mwashambwa una vieite?
 
Lucas mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
4,007
1,776
Huo utafiti
Umefanyia wapi.

Shida ya makada wenzangu sisi ni waongo sana.

Tupe hats zile habari za Serengeti

Kuliko huu uzi wako
Kama kweli wewe ni mzalendo wa kweli
Utafiti hupingwa kwa utafiti, Kama unautafiti wako unaopingana na huu waweza uleta hapa, kwani wewe huoni hata taarifa za vikao vyake CCM namna ambavyo huteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
 
kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
874
1,017
Utafiti hupingwa kwa utafiti, Kama unautafiti wako unaopingana na huu waweza uleta hapa, kwani wewe huoni hata taarifa za vikao vyake CCM namna ambavyo huteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣Ndugu yangu #Lucas Mwashambwa.

Kuona kwenye vyombo vya habari ni kawaida kuhabarisha umma
Kwa sababu CCM ni chombo cha umma
Kwani kinaongozwa kwa Ruzuku ya Serikali.

Sheria Tao sharti la kuutangazia umma
So kitu cha ajabu chombo vya habari kutoa taarifa.
Ukiongozwa na gazeti la chama chetu UHURU
 
Lucas mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
4,007
1,776
Hapana huwezi ukakuta watu wa Rika zote na maeneo yote wamekaa wanajadili habari za CDM, lakini ukienda kwa wakulima utawakuta wakulima wanajadili habari za CCM juu ya kuwawezesha kupata mbolea za Ruzuku, ukienda kwa vijana utakuta wanaizungumza CCM kuwasaidia kupata ajira na mikopo ya riba nafuu kupitia halmashauri, ukienda kwabodaboda utakuta wanajadili CCM kwa namna inavyowasaidia na kuwapunguzia kero ya kubuguziwa na Askari na Sasa asikari Ni rafiki zao, ukienda kwa wafanyabiashara utakuta wanaijadiri CCM kwa namna ilivyo wapunguzia kero, ukienda kwa machinga,mama ntilie, wanafunzi wa vyuo, wazee wote Wana Iman kubwa Sana na CCM hii imara chini ya mama Samia suluhu Hassani
Hata Chadema hufuatiliwa na mamilioni ya watu
 
Lucas mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
4,007
1,776
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣Ndugu yangu #Lucas Mwashambwa.

Kuona kwenye vyombo vya habari ni kawaida kuhabarisha umma
Kwa sababu CCM ni chombo cha umma
Kwani kinaongozwa kwa Ruzuku ya Serikali.

Sheria Tao sharti la kuutangazia umma
So kitu cha ajabu chombo vya habari kutoa taarifa.
Ukiongozwa na gazeti la chama chetu UHURU
Hao wengine hata kwenye vyombo vya habari huwezi ukawasikia maana huwezi ukarusha matusi wanavyokuwa wanatukana maana siyo Mahitaji ya watanzania hayo
 
Lucas mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
4,007
1,776
TAIFA HILI LINA MAJINGA MENGI SANA KAMA HILI JITU LA CCM NA MIJINGA JINGA MINGI IPO CCM. TUFANYE RESEARCH KIDOGO TU LISSU ATOE SPEECH HALAFU MAMA TOZO NA KINANA NA SHAKA WOTE WATOE KWA WAKATI MMOJA TUONE NI NANI ATAFATILIWA ZAIDI. KWA WENYE AKILI TIMAMU WASHAJUA.
Kwani Lisu huwa hatoa speech tangia amekuwa huko nccr na Sasa CDM? Lini umeona wananchi wakihangaiika Naye? Watanzania wanafuatilia CCM kwa kuwa ndio yenye ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania
 
kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
874
1,017
Hao wengine hata kwenye vyombo vya habari huwezi ukawasikia maana huwezi ukarusha matusi wanavyokuwa wanatukana maana siyo Mahitaji ya watanzania hayo
Si kweli huu ni mfano tuu kutoka wananchi gazeti
 
Attachments

  • 20220926_111516.jpg
    20220926_111516.jpg
    113 KB · Views: 2

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
9,115
5,373
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,

Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa, Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,

Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao.

Wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.

Hongera sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,

viongozi watakao juwa uongozi ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi

Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
maamuzi yote ya kukandamiza watz hufanyika kwenye vikao vya chama tawala, ni lazima vifuatiliwe
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom