Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.

Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.

CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
 
Sioni tofauti ya shetani na Magufuli, maana shetani ndio Baba wa uongo.
 
Mungu amlaze mahali pema peponi. Kazi zake zimeonekana na jitihada zake. Wengi wao humponda Magufuli kwa sababu chuki zinatuendesha ila kiuhalisia alifanya mengi na aliona mbali. Kwa wasiokuwa na faida nae nawapa pole sana ila kwa sie tulioona faida nae tunaendelea kumuombea. Huwezi kuwa raisi ukawafuraisha wote. .

Watu hupenda kushangilia vitu bila kutafakazi na mihemko ya vijiweni. Leo hii unaona kabisa mfumuko wa bei wa kiholea yote haya wanamuita dictator ila ilibidi ili mabepari na mabeberu wasitunyonye. Leo hii unaona panya road wengi na hao walifukuzwa machinga. Leo hii wazungu wanadai sisi ni marafiki zao na utumwa wa kumwabudu mzungu kila kitu; tangia lini mzungu akatupenda sisi. .

Ni vitu vingi watu wanapotosha, eti mnafungua nchi, sasa nchi imefunguliwa kipi ambacho tunafaidika na wazungu. Hatuwezi kuishi wenyewe sikatai ila AIBU tupu tunanyonywa hadi na wakenya? Mungu akulaze mahali pema peponi, mapungufu yako kibinadamu Mungu akusamehe, hakuna mkamilifu, umefanya makubwa sana. .
 
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.

Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.

CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Huo mshahara ukiongezeka uje uniambie
 
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.

Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.

CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Hayo yalikuwa mawazo ya KISHETANI tu na ndiyo maana Magufuli amenyakuliwa kwenda Jehanam.

Haiingii akilini kutowapa wafanyakazi wa Serikali stahiki yao kwa EXCUSE ya kujenga Bwawa la JK Nyerere. Huko ni kukosa utaalamu wa ubunifu na usimamizi wa miradi. Rot In Hell Magufuli
 
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.

Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.

CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Zilikuwa fedha za mikopo au makusanyo ya kodi??...
 
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.

Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.

CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Kwa hiyo?
 
Tusimdharau mtu yeyote,kila kiongozi ana pande mbili,Magufuli yeye alipenda sana kusifiwa na ukimsifia unapata cheo,Nikimuangalia Samia na ni wale wale wanaopenda kusifiwa kama akina magufuli,ndio maana uliona pale spika Ndugai aliposema mama anaenda nje kukopa kopa tu ilihali deni la Taifa ni kubwa,sote tunakumbuka nn kilitokea,spika alinangwa balaaa.wenye akili tukajua kumbe wanataka wakikopa wasifiwe kila Kona.WATANZANIA MTAMBUE DAWA ILIYOBAKI NI MOJA TU,NAYO NI KUACHA UJINGA NA UPUMBAVU ULIOPITILIZA WA KUISHABIKIA CCM AMBAYO KWA STAILI YAKE MPYA INATESA WATU WOTE WALA HAIBAGUI,SASA CCM INASTAILI YA KILA MTU AJIFIE MWENYEWE.WATANZANA TUACHE UJINGA TUKATAE MATESO YA KULAZIMISHWA.
 
Back
Top Bottom