Izato
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 5,457
- 11,701
Tofauti na miaka mingine tunashuhudia hakuna tetesi zozote kuhusu idadi inayokadiriwa ya sasa ya Watanzania. Vyombo vya habari wala waandishi wa habari hawaonyeshi kuguswa na matokeo yanayotarajiwa.
Je! Maswali yalukuwepo katika dodoso yalikaa kitozo zaidi kiasi kwamba eneo hili linaonyesha kutokupendwa?
Je! Watu wengi wamepigika kiasi kwamba hawaoni hamasa yoyote ile kufanya hivyo?
Je! Wananchi wana imani na serikali yao kiasi kwamba wanachokisubiri ni kupewa taarifa rasmi tu?
Je, zinaweza zikawa ni nyingi lakini tozo zinachosha sana akili. Chukua tahadhari maji ya kuoshea maiti ni chanzo kikubwa cha gonjwa la kansa.