Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,363
- 2,372
Mimi nilikuwa Chadema kindaki ndaki na nilishiriki kumchagua Tundu Lisu kwenye ubunge mwaka 2015 kwa sababu mimi ni mkazi wa Ikungi.
Ikumbukwe Chadema ilibadilika na kuanza kutetea mafisadi mara baada ya Lowasa kujiunga na chama na ikapelekea Tundu Lisu akaunda ubia na kampuni ya madini ya Acacia na akatangaza kuwa ikitokea Magufuli amebadilisha sheria za madini basi Tanzania itashitakiwa MIGA!
Tundu Lisu alisoma kwa kodi za watanzania ilikuwaje akawa upande wa kutetea Acacia? Hivi ingekuwaje kama hayati Magufuli angefuata ushauri wa Lisu na kuacha watanzania waendelee kunyonywa?
Huu unafiki wa wasomi wa Tanzania kusaliti wenzao na kutetea wazungu utakoma lini?