Nondo una hakika barua yako uliyoweka hapa ni ya Jeshi la Polisi au fujo zenu ACT Wazalendo?

El Roi

JF-Expert Member
May 29, 2020
263
502
Kuna barua nimeiona hapa inayodaiwa kuwa ya polisi wilaya ya Tunduru juu za zuio la ziara ya katibu mkuu wa Act wazalendo ndg Addo Shaibu. Ukiachana na malalamiko ya Mwenyekiti was ngome ya vijana ya chama Cha ACT wazalendo, ndugu Abdul Nondo, ambayo ni ya kitoto ( a baby cry), bado Sina Imani kama barua hiyo ni ya polisi Tunduru.

Labda kabla sijaichambua barua, wengine wanaweza kuhoji Kwa Nini kilio cha Nondo ni baby cry.

ACT Wazalendo, walijipambanua tangu mwanzo kabisa baada ya uchaguzi kuwa washirika wa serikali, kumbuka serikali ya Mseto Zanzibar. Nakumbuka Tena jinsi wapinzani wengine wanavyopondwa na Act kila wanapodai haki yao ya kufanya siasa na kudai katiba mpya isiyo na mikingamo. Leo wanapomlaumu mkuu wa wilaya na OCD wake wanatenda haki kweli au ndiyo baby cry?

Ukiachana na hilo sasa ambalo ni discussion of the other day, barua inayodaiwa kuwa ya zuio la polisi nayo inatia shaka. Inashangaza kuona barua hiyo jina la mtia sahihi na cheo chake cha kipolisi. Barua official ya polisi inapaswa kuwa na vitu hivyo kabla ya mhuri. Sasa barua iliyowekwa hapa na Nondo haina jina la huyo OCD na cheo chake cha kipolisi.

Hata hiyo inayoitwa sahihi ya Mkuu wa polisi haieleweki kiuhalisia. Ukiiichunguza vizuri utaona kama herufi kama SP ingawa ni kwa mkorogo ambacho tungedhani ndiyo cheo cha mkuu wa polisi wa wilaya.

Namshauri Nondo kabla ya kuwalaumu polisi na pengine mkuu wa wilaya ambaye Sioni barua yake labda tu Kwa ile conclusive judgement kwa kuwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya, angefuatilia kidogo Kwa undani suala hili asije akawa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Nakumbuka.
Naibu msajili wa vyama. ndugu NYahonga sijui kama nimepatia alipeleka barua ofisini kwa chadema akitumia bodaboda . hahahaha
 
Kuna barua nimeiona hapa inayodaiwa kuwa ya polisi wilaya ya Tunduru juu za zuio la ziara ya katibu mkuu wa Act wazalendo ndg Addo Shaibu. Ukiachana na malalamiko ya Mwenyekiti was ngome ya vijana ya chama Cha ACT wazalendo, ndugu Abdul Nondo, ambayo ni ya kitoto ( a baby cry), bado Sina Imani kama barua hiyo ni ya polisi Tunduru.
Hivi kati ya Nondo na Polisi utawaamini polisi? I say wewe huwajui polisi wa Tanzania. Ngoja waje waseme umekutwa na misokoto ya bangi mfukoni ndio utawajua vizuri
 
Kuna barua nimeiona hapa inayodaiwa kuwa ya polisi wilaya ya Tunduru juu za zuio la ziara ya katibu mkuu wa Act wazalendo ndg Addo Shaibu. Ukiachana na malalamiko ya Mwenyekiti was ngome ya vijana ya chama Cha ACT wazalendo, ndugu Abdul Nondo, ambayo ni ya kitoto ( a baby cry), bado Sina Imani kama barua hiyo ni ya polisi Tunduru.

Labda kabla sijaichambua barua, wengine wanaweza kuhoji Kwa Nini kilio cha Nondo ni baby cry.

ACT Wazalendo, walijipambanua tangu mwanzo kabisa baada ya uchaguzi kuwa washirika wa serikali, kumbuka serikali ya Mseto Zanzibar. Nakumbuka Tena jinsi wapinzani wengine wanavyopondwa na Act kila wanapodai haki yao ya kufanya siasa na kudai katiba mpya isiyo na mikingamo. Leo wanapomlaumu mkuu wa wilaya na OCD wake wanatenda haki kweli au ndiyo baby cry?

Ukiachana na hilo sasa ambalo ni discussion of the other day, barua inayodaiwa kuwa ya zuio la polisi nayo inatia shaka. Inashangaza kuona barua hiyo jina la mtia sahihi na cheo chake cha kipolisi. Barua official ya polisi inapaswa kuwa na vitu hivyo kabla ya mhuri. Sasa barua iliyowekwa hapa na Nondo haina jina la huyo OCD na cheo chake cha kipolisi.

Hata hiyo inayoitwa sahihi ya Mkuu wa polisi haieleweki kiuhalisia. Ukiiichunguza vizuri utaona kama herufi kama SP ingawa ni kwa mkorogo ambacho tungedhani ndiyo cheo cha mkuu wa polisi wa wilaya.

Namshauri Nondo kabla ya kuwalaumu polisi na pengine mkuu wa wilaya ambaye Sioni barua yake labda tu Kwa ile conclusive judgement kwa kuwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya, angefuatilia kidogo Kwa undani suala hili asije akawa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Ile barua yenu ni ya kweli, ila kwakuwa watu wamewaona polisi mnatumika kama toilet paper, ndio mmeona mje kujifanya mnaikana barua yenu. Ni hivi, polisi acheni mambo ya kishamba.
 
Back
Top Bottom