Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI Msome hapa: Palamagamba na profesa wengine wote...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Simung'unyi maneno. Ni shirika ambalo limeshaisababishia nchi Hasara ya Kutosha. Ndege hizi zilisababisha watu wakaumizwa KWA kutoonekana Wazalendo. Shirika hili kufufuliwa iligharimu nchi KWA...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi. Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo. "Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha...
14 Reactions
100 Replies
5K Views
RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Summary, SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Tatizo la wanasiasa ni kujifanya wanajua kila kitu wakati siyo kweli Utaratibu wa kutoa estimated tax ni wa kisheria tena wa kawaida sana pale TRA. Kama taxpayer hajaridhika anatakiwa kuammend...
0 Reactions
6 Replies
823 Views
Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana. Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari, Tundu Lissu alichaguliwa kwa mbwembwe kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na wafuasi wa upinzani wakawa na matumaini makubwa kuwa atakuja na mawazo mapya ya kuinua CHADEMA na Upinzani kwa...
13 Reactions
93 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya...
13 Reactions
108 Replies
9K Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino uliofikia 91% ambayo itazinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa watanzania mwezi wa tano mwaka huu. Ikulu ya Chamwino inaongoza...
16 Reactions
78 Replies
9K Views
Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili. Akivuka mstari ndani ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatua za uwajibikaji zichukuliwe mauaji ya raia kwenye Operesheni za Polisi nchini: Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari Takribani siku 14 sasa tangu vyombo vya habari, wananchi mitaani na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana...
9 Reactions
121 Replies
5K Views
Cheo ni dhamani, sitakitumia cheo changu au cha mtu mwingine kwa faida ya.... Kuwa kiongozi ni dhamani kubwa aliyopewa kiongozi toka kwa raia waliomdhamini kuwaongoza. Ni wajibu wa kiongozi...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga, Salehe Mkwizu, ameingia katika kashfa kubwa baada ya kupigana na Diwani wa Kata ya Kighare, Innocent Msemo kiini kikitajwa kuwa masuala ya ushoga...
14 Reactions
58 Replies
10K Views
Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom