Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan...
Nimekuwa nikiangalia mbio za mwenge na miradi inayozinduliwa.
Mara nyingine hawa vijana wamekua wakiwasumbua watumishi waliosimamia miradi kwa kauli na matamko ya hovyo kabisa kana kwamba hawa...
Nachukia sana hili suala la kuiita miundombinu kwa majina ya watu binafsi, kama maraisi au watu wengine wanasiasa na wengineo. Kinachoniudhi zaidi ni kwamba mapendekezo ya majina haya mara nyingi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Boniphace Christopher...
Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo. Hivi karibuni Mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19, sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi...
Mwanasheria Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Hashimu Mzirai na Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Musa Swedi wametangaza kujiuzulu nyazifa zao ndani ya chama hiko.
Mzirai ambaye pia alikuwa...
Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa...
Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.
Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Maulid kitaifa leo tarehe 09 Oktoba, 2022 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
Samia...
Wakati Rais Samia anapokea kijiti nchini yetu ilikuwa kwenye mkwamo tunaweza sema hali ilikuwa ni mbaya sana, Virusi vya Corona vilikuwa vimeshika kasi tulikuwa hatuna option zaidi ya kupiga...
Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani.
Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu...
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM
Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.
Sasa mama...
Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.
Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema...
Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea.
Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali...
Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.
Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au...
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu...
Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson , amegoma kufuta kauli yake ya Uchochezi aliyoitoa kama agizo kwa wanaccm wenzake wa Mbeya Mjini , kuhusu kuwashughulikia , kuwatwanga na kulala nao mbele...
1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji.
Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO.
Tanzania tuna fursa ya maeneo bora...
Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu...
Imewekwa: Thursday 22, September 2022
Septemba 17, 2022 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma. Miongoni mwa miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.