Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

7 days before I kiss, touch and smell my motherland again AFTER 5 LONG and DREADFUL YEARS of FORCED EXILE. In my mind are my brothers, @TunduALissu, exiled in Belgium, and @godbless_lema, exiled...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Huwa najiuliza kama wanadamu tunatumia angalau ule uwezo mdogo wa kufikiri ambao tumejaliwa na Mwenyezi Mungu katika kufanya maamuzi, ukizingatia kwamba wanaotunga sheria za nchi ni wanadamu...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu Wana jukwaa.. Rais wa Kenya Ruto yuko Tanzania kwa Ziara rasmi ya kiserikali na amewasili Jana.. Akiwasili uwanja wa ndege Alipokelewa na Waziri wetu wa Mambo ya Nje Dr.Tax na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Kibaha Mjini - Pwani. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe...
1 Reactions
3 Replies
485 Views
Nimekuwa nikifuatilia Kwa Ukaribu sana Namna Polisi wetu wanavyokomaa na Ulinzi Shirikishi, wakienda Sehemu ambapo tukio la Uhalifu limefanyika, utaona Wanatoa Lawama Kwa Raia Kwa madai ya...
0 Reactions
6 Replies
814 Views
Kiongozi mkongwe wa NCCR mzee Ambari anasema wamemvumilia sana James Mbatia lakini sasa imetosha Ambari anasema Mbatia aliwahi kula njama na CCM ili dada yake apigiwe kura za ubunge wa EALA na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu. 1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi 2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga...
24 Reactions
33 Replies
5K Views
Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana. Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi CCM, Gilibert Kalima amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kuvunja makundi yaliyotokana na kampeni za uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Habari za muda huu popote pale ulipo. Ni matumaini yangu sote ni wazima wa afya, ama kwa yule aliepatwa na mtihani wa maradhi tunamuombea shifaa apone haraka kwa idhini ya aliyetuumba. Moja kwa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili 18/09/2022 Kazi inaendelea Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea kuhusu Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo nikijikita kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapo zungumzia gesi ni tofauti sana na mafuta katika swala zima la uhifadhi na usafirishaji. Ili kuweza kuisafirisha gesi nje ya nchi unahitaji miundo mbinu ya kuweza kuibadilisha kuwa...
18 Reactions
125 Replies
11K Views
Salaam Wakuu, Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye...
1 Reactions
2 Replies
946 Views
James Mbatia, kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni, ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake. Katika...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninavyojua ni kwamba CCM ya mwaka 1977 ndio hii hii ya leo 2022 Ninavyokumbuka Nyerere na mzee Mwinyi hawajawahi kushindanishwa na Mtu mwingine kwenye Uchaguzi wa Rais wa JMT Ninavyofahamu Chama...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi. Haya ni matuna ya...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Watanzania wengi wanalalamikia ugumu wa maisha. Ni kweli hali ni ngumu lakini katika nchi nyingne hali ni ngumu zaidi (kama umetembea nchi kadhaa utaelewa). Bei za internet, chakula, ardhi...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Back
Top Bottom