Nimetembelea jiji la Dar es salaam, kwa kweli hali niliyokutana nayo inasikitisha sana. Mpaka ikabidi nijiulize hii wizara inayohusika na mazingira iko wapi na inafanya nini?
1. Mifuko ya Plastic...
Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa.
Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi.
Tunaweza kuyakataa...
Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio...
Kumekuwa na tabia ambayo ilianza kuota mizizi hasa wakati wa kuanzia Kwa utawala wa Magufuli.
Kuna mambo yanayofanywa na viongozi waandamizi wa kiserikali Kwa makusudi na Kwa lengo baya...
Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya...
Unaweza kushangaa Kessy na Ghasia waliwafanya nini Wapiga kura Kwenye Majimbo yao lakini hiyo ndio Siasa
Watu walidhani labda CCM itakataliwa Moshi na Kigoma lakini wapi huko ndio ilijizolea...
Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000.
Ripoti ya takwimu za kitaifa...
SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO
Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha...
Uvumbuzi wa rasilimali za mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mataifa yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye...
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha...
Ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lakini miaka 30 sasa ni wanaume tu wanashika nafasi za juu za uongozi. Hata Bavicha na Bazecha ni kanuni hiyo hiyo. Hata Bawacha ni vile tu hakuna namna...
"Nchi yetu imejaa mafisi huu", msemo nakumbuka JK aliposema CCM kauli yake iliakisi mambo mengi anayoyafahamu ndani ya CCM. Ukweli ni kwamba ndani ya CCM waliowengi wanapambana kujilimbikizia mali...
DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi...
Hii ndiyo Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Raia Mwema kwa siku ya leo, Agosti 31, 2022 kwamba yuko Mtanzania mwenzetu ambaye amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan, ili atie mkono wake kutokana...
Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima.
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk.
Aidha kutakuwa na...
Salam wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata...
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa...
Wanabodi,
Tumeshuhudia vitendo vingi haswa katika bara la Afrika ambavyo kwetu vimekuwa vya kawaida. Vitendo hivi vinaonekana vya ajabu haswa kwa wenzetu ambao wapo bara zingine. Suala hili ni...
Dar es Salaam. Rais wa Kenya, William Ruto kesho ataanza ziara ya siku mbili nchini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika nchi ya Afrika Mashariki tangu alipoapishwa Septemba 13, kuwa Rais wa tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.