Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1,069
Reaction score
1,062
Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo. Hivi karibuni Mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19, sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi yakarabatiwe upya ili kiongozi wa Mwenge asije akayakataa. Wakatindua sakafu yote na kuweka nyingine, wakaziba liufa likuubwa na kupaka rangi, wizi mtupu.

Jambo la kujiuliza hilo fungu la ukarabati walilipata wapi, jibu ni rahisi tu wamechukua pesa za kujikimu za waajiriwa wapya na kufanyia huo uovu wao. Mpaka sasa hakuna pesa ya kujikimu iliyotolewa kwenye hiyo halmashauri.

Kwakweli kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Hao wanajielewa,huku ni mwendo wa kutafuna tu,nilitegemea makamu wa rais aisimamie wilaya yake ifanye vizuri lakini wapi
 
Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo.Hivi karibuni mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19 sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi yakarabatiwe upya ili kiongozi wa mwenge asije akayakataa.wakatindua sakafu yote na kuweka nyingine, wakaziba liufa likuubwa na kupaka rangi, wizi mtupu.

Jambo la kujiuliza hilo fungu la ukarabati walilipata wapi, jibu ni rahisi tu wamechukua pesa za kujikimu za waajiriwa wapya na kufanyia huo uovu wao mpaka sasa hakuna pesa ya kujikimu iliyotolewa kwenye hiyo halmashauri.

Kwakweli kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Hayo yote yakifanyika nyie wananchi mpo mnaangalia,RC yupo, DED yupo,DC yupo na Takukuru wapo sasa hapo mnamlalamikia nani?

Unataka aje Waziri, PM au Rais ?Ifike mahala tuache ulalamishi bali tuchykue hatua.
 
Upigaji ndani ya Halmashauri unawahusu wrote hao.

Hao DCs na RCs sana mapato gani, zaidi ya kuomba omba pesa kwa DEDs kila siku.

Huyo Mpango hajui chochote kazi yake Ni kuzurula tu kukata utepe.

Miradi yote ambayo Wapigaji walihofia mwenge ungewazingua, waliitoa kwenye ratiba ya uzinduzi wa Mwenge. Sasa hivi wanamshikisha Mpango akipita ANAZINDUA tu kama JUHA.
 
Kwa hiyo Kazi Yao ni ipi labda?
 
Kwa hiyo Kazi Yao ni ipi labda?
Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.

Kila kona Ni UCHAWA, CONNECTION, WIZI, MICHONGO na KUBEBANA.

Kuna sehemu huku kina mradi wa jengo LA ofisi ya serikali. Budget ya jengo 180M fundi bei take 18M.

Wanatumia Force account. Material yote na kila kitu wanafanya engineers wa Mkoa wao wanapigia huko.

Huku chini walioambiwa watafute fundi ( local ) wakampa makavu, pesa ya fundi Ni 18M yeye atatoa ngapi apewe kazi. Akasema 2M.

Watu wanapiga kwenye BOQ
 
Upigaji ndani ya Halmashauri unawahusu wrote hao.

Hao DCs na RCs sana mapato gani, zaidi ya kuomba omba pesa kwa DEDs kila siku.

Huyo Mpango hajui chochote kazi yake Ni kuzurula tu kukata utepe.

Miradi yote ambayo Wapigaji walihofia mwenge ungewazingua, waliitoa kwenye ratiba ya uzinduzi wa Mwenge. Sasa hivi wanamshikisha Mpango akipita ANAZINDUA tu kama JUHA.
Aisee!
 
Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.

Kila kona Ni UCHAWA, CONNECTION, WIZI, MICHONGO na KUBEBANA.

Kuna sehemu huku kina mradi wa jengo LA ofisi ya serikali. Budget ya jengo 180M fundi bei take 18M.

Wanatumia Force account. Material yote na kila kitu wanafanya engineers wa Mkoa wao wanapigia huko.

Huku chini walioambiwa watafute fundi ( local ) wakampa makavu, pesa ya fundi Ni 18M yeye atatoa ngapi apewe kazi. Akasema 2M.

Watu wanapiga kwenye BOQ
Jibu swali Kazi ya hao niliowataja hapo juu ni ipi?

Wizi na connection nk havijawahi kuisha Wala kupungua Nchi hii.
 
Kazi ya DCs na RCs Ni kulinda amani kupitia kamati ya ulinzi na usalama.

TAKUKURU Ni mpaka waambiwe au kupelekewa tukio. Au sometimes mpaka na wao wapewe mgawo

Hakuna cha zaidi.
 
Halmashauri ndiko hela ya serikali inaliwa na wahuni

#MaendeleoHayanaChama
 
Unapolinda amani unachekelea wezi?
Kwa akili yako hao wezi wanaiba kwa bunduki??
Kwa taarifa yako hakuna wizi wa DED bila kula na DC.

DC hana kipato. Anategemea OC na Fungi LA maafa. Salary 3M.

pesa za Halmashauri zinaliwa na DED, DC, Wakuu wa Idara na Madiwani.
 
Kwani Ili uitwe mwizi lazima uibe kwa bunduki?
Kwa taarifa yako hakuna wizi wa DED bila kula na DC.

DC hana kipato. Anategemea OC na Fungi LA maafa. Salary 3M.

pesa za Halmashauri zinaliwa na DED, DC, Wakuu wa Idara na Madiwani.
 
Kwa taarifa yako hakuna wizi wa DED bila kula na DC.

DC hana kipato. Anategemea OC na Fungi LA maafa. Salary 3M.

pesa za Halmashauri zinaliwa na DED, DC, Wakuu wa Idara na Madiwani.
Sasa kama hivyo ndivyo kwa nini wenye Halmashauri ambao ni Wananchi na wabunge wasiwaripoti kwa RC, Takukuru au Wizarani?
 
Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.

Kila kona Ni UCHAWA, CONNECTION, WIZI, MICHONGO na KUBEBANA.

Kuna sehemu huku kina mradi wa jengo LA ofisi ya serikali. Budget ya jengo 180M fundi bei take 18M.

Wanatumia Force account. Material yote na kila kitu wanafanya engineers wa Mkoa wao wanapigia huko.

Huku chini walioambiwa watafute fundi ( local ) wakampa makavu, pesa ya fundi Ni 18M yeye atatoa ngapi apewe kazi. Akasema 2M.

Watu wanapiga kwenye BOQ
Hii nchi fundi kama hautoi hela ya maji haupati tenda!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom