Msiompenda Kikwete bado mna cha kujifunza kwake ili muishi maisha marefu

Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,555
6,382
Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.

Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao.

Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye furaha na afya tele ukaona wajukuu zako na vitukuu .

Huwezi kuishi maisha marefu kama kila kitu wewe unakichukulia serious,maisha sio magumu hivyo,huwezi kumaliza matatizo ya watanzania kwa miaka kumi

Fanya kazi yako utakapoishia waachie wengine watamalizia

Moyo wa subira,
Kumbuka alihitinu shahada ya uchumi miaka ya 70 katika chuo bora kabisa udsm lakini alikubali kufanya kazi ya katibu wa wilaya wa CCM,miaka ile wasomi ni wachache sana angeweza kupata kazi nzuri kuliko hiyo.
Miaka arobaini baadae kazi hiyo kwa wasomi wengi wanaona ni ya chini kabisa.
Mzee Ruksa akiwa Rais alifanya ziara mikoa ya kusini akamkuta JK amerelax anaendesha baiskeli,wiki iliyofuata akamteua mbunge na naibu waziri.

Tusiwe serious sana na maisha,ukiwa serious sana vidonda vya tumbo,presha,kisukari vitakuua,
Sisi watu wa pwani hatuna hayo magonjwa maana tunajua maisha ni zawadi tu toka kwa Mungu na huwezi kubadili dunia kwa miaka kumi.

Humpendi JK basi fuata life style yake ufurahie maisha

Fanya ibada
Fanya mazoezi
Kuwa karibu na familia yako

Furaha ñi......
 
Mmoja mtoto wake ni Rais, wengine ni wabunge na viongozi waandamizi serikalini.
Mwingine mtoto wake Waziri, mkewe Mbunge na wengine viongozi waandamizi huko waliko.

Wao wenyewe wanazidi kuongezewa mara leo nyumba mpya, kesho maV8 mapya na marupurupu chungu nzima utadhani ni miunguwatu, hawa unawalinganisha na akina nani?
 
Mmoja mtoto wake ni Rais, wengine ni wabunge na viongozi waandamizi serikalini.
Mwingine mtoto wake Waziri, mkewe Mbunge na wengine viongozi waandamizi huko waliko.

Wao wenyewe wanazidi kuongezewa mara leo nyumnba mpya, kesho maV8 mapya na marupurupu chungu nzima utadhani ni miunguwatu, hawa unawalinganisha na akina nani?
We angalia life style yao hayo mengine yaache.
Subira
Acha kucomplicatisha maisha
Kuwa karibu na familia
Fanya mazoezi
Fanya ibada
 
Hivi unavyoweka mambo yako binafsi public unategemea usifiwe tu bila ya criticism yoyote? I mean kama unapenda kusikia upande mmoja tu wa kusifiwa basi pia chagua watu wa kuwaambia mambo yako binafsi, kuna wengi wanasherehekea Birthdays kila siku lkn hawafanyi hivyo, hata Mzee Mwinyi alikuwa Raisi wa Pili nchi na bado anaishi tena yeye ndiyo alikuwa na changamoto kubwa zaidi kwani alichukuwa nchi kwenye Ujamaa na kuanzisha Vyama vingi lkn hajawahi kuweka maisha yake public hivyo au mimi atleast sijawahi kusikia.

Sasa watu wanareact kivingine hampendi pia mnafikiri wana chuki, hakuna aliye na chuki bali wote hatuwezi kusifia tu hata kama tunaona kuna kitu hakipo sawa!
 
Hawalipi kodi, hawakatwi tozo, matibabu bure, malisho bure, wakiingia kwenye V8 zao barabara zafungwa, hawapangi foleni popote pale, wanaishi kama vile wapo peponi...hizo stress walizo nazo wengine wakutane nazo wapi?
 
Sawa hata kama tunalipa kodi ila tusiache kuwa karibu na familia zetu na tusiwe serias sana na maisha,tufanye mazoezi,tufanye ibada
 
Hivi unavyoweka mambo yako binafsi public unategemea usifiwe tu bila ya criticism yoyote? I mean kama unapenda kusikia upande mmoja tu wa kusifiwa basi pia chagua watu wa kuwaambia mambo yako binafsi, kuna wengi wanasherehekea Birthdays kila siku lkn hawafanyi hivyo, hata Mzee Mwinyi alikuwa Raisi wa Pili nchi na bado anaishi tena yeye ndiyo alikuwa na changamoto kubwa zaidi kwani alichukuwa nchi kwenye Ujamaa na kuanzisha Vyama vingi lkn hajawahi kuweka maisha yake public hivyo au mimi atleast sijawahi kusikia.

Sasa watu wanareact kivingine hampendi pia mnafikiri wana chuki, hakuna aliye na chuki bali wote hatuwezi kusifia tu hata kama tunaona kuna kitu hakipo sawa!
Siwatetei ila mfumo wao wa maisha unauona wa ovyo ila ni mzuri kiafya
 
Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.

Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao.

Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye furaha na afya tele ukaona wajukuu zako na vitukuu .

Huwezi kuishi maisha marefu kama kila kitu wewe unakichukulia serious,maisha sio magumu hivyo,huwezi kumaliza matatizo ya watanzania kwa miaka kumi

Fanya kazi yako utakapoishia waachie wengine watamalizia

Moyo wa subira,
Kumbuka alihitinu shahada ya uchumi miaka ya 70 katika chuo bora kabisa udsm lakini alikubali kufanya kazi ya katibu wa wilaya wa CCM,miaka ile wasomi ni wachache sana angeweza kupata kazi nzuri kuliko hiyo.
Miaka arobaini baadae kazi hiyo kwa wasomi wengi wanaona ni ya chini kabisa.
Mzee Ruksa akiwa Rais alifanya ziara mikoa ya kusini akamkuta JK amerelax anaendesha baiskeli,wiki iliyofuata akamteua mbunge na naibu waziri.

Tusiwe serious sana na maisha,ukiwa serious sana vidonda vya tumbo,presha,kisukari vitakuua,
Sisi watu wa pwani hatuna hayo magonjwa maana tunajua maisha ni zawadi tu toka kwa Mungu na huwezi kubadili dunia kwa miaka kumi.

Humpendi JK basi fuata life style yake ufurahie maisha

Fanya ibada
Fanya mazoezi
Kuwa karibu na familia yako

Furaha ñi......
Ukiwa na roho mbaya utaishia kuwa kama Mwendazake
 
Maisha ya kikwete kamwe!! hayakuwa na Mapungufu acha upotoshaji! ila watu(hadhira) ndiyo wenye Mapungufu! kwa mfano mie nimeamua kuvaa suti ya kubana ndo naona raha ati! iwapo misuri yangu itabanwa na nguo,

!inakuwa km inanikanda kanda hivi! sasa ajabu! kuna mtu atakuja na zake utasikia namnukuu.. ''suti gani ya kubana hiyo! hata haimupendezeiiii'''! ....sasa kwa akili zako hapo nani mshamba ana tatizooo?...mvaaji au msimuiaji??

kimsingi unatukosea sana, unapotwambia matatizo na mitizamo ya watu binafsi! then unahamishia kwa mtu binafsi ambaye naye hana habari hizo!...

Ni km watazamaji wa mpira siku zoote wao, hawakosei! lkn waingie wacheze waone mpira ulivyo, kifupi yule/wale hawakukosea! km unavo dhani wamekosea! tatizo ni weye!
 
Dah hakuna mtu asiyekosea
 
Dah hakuna mtu asiyekosea
Hujanielewa wewe!! tusiyo kosea tupo weeeengi sana!....hiyo statement yako umekariri tu!! hebu nambie kikwete alichokosea ni nini!! .......halafu nimjibie uone! hata DOWANS! tu,

yeye km yeye ndo aliona njia rahisi ya kutatua matatizo yetu km nchi!....ukisema ni mwizi wewe ndo unaona ni mwizi unamuhukumu! lkn siyo yeye!...na hajawahi kusema yeye ni Mwizi!

km alisema alikosea ni matamshi ya kisisasa tu lkn alikuwa sahihi!.......hata julius na siasa za ujamaa alikuwa sahihi nyie ndo mlishindwa kuitekeleza tu! mkaliona hiloooo!
 
Acheni kusifia watu ambao wanafanya Watanzania waishi maisha magumu kwa tamaa zao za kujilimbikizia Mali na madaraka.
 
Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.

Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao.

Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye furaha na afya tele ukaona wajukuu zako na vitukuu .

Huwezi kuishi maisha marefu kama kila kitu wewe unakichukulia serious,maisha sio magumu hivyo,huwezi kumaliza matatizo ya watanzania kwa miaka kumi

Fanya kazi yako utakapoishia waachie wengine watamalizia

Moyo wa subira,
Kumbuka alihitinu shahada ya uchumi miaka ya 70 katika chuo bora kabisa udsm lakini alikubali kufanya kazi ya katibu wa wilaya wa CCM,miaka ile wasomi ni wachache sana angeweza kupata kazi nzuri kuliko hiyo.
Miaka arobaini baadae kazi hiyo kwa wasomi wengi wanaona ni ya chini kabisa.
Mzee Ruksa akiwa Rais alifanya ziara mikoa ya kusini akamkuta JK amerelax anaendesha baiskeli,wiki iliyofuata akamteua mbunge na naibu waziri.

Tusiwe serious sana na maisha,ukiwa serious sana vidonda vya tumbo,presha,kisukari vitakuua,
Sisi watu wa pwani hatuna hayo magonjwa maana tunajua maisha ni zawadi tu toka kwa Mungu na huwezi kubadili dunia kwa miaka kumi.

Humpendi JK basi fuata life style yake ufurahie maisha

Fanya ibada
Fanya mazoezi
Kuwa karibu na familia yako

Furaha ñi......
Huyu mtu alikuwa Raisi wa nchi,ukiacha pesa alizoiba,ataendelea kulipwa mpaka afe,hapo alipo anapokea 24M kila mwezi,stress zitatoka wapi?acha kujilinganisha na watu wenye ukwasi jombaa,stress tunazosisi tunaokufa kwa tozo,bima za afya feki,Wala chips,kwa sababu ya kukosa mlo Bora.
 
Hivi unavyoweka mambo yako binafsi public unategemea usifiwe tu bila ya criticism yoyote? I mean kama unapenda kusikia upande mmoja tu wa kusifiwa basi pia chagua watu wa kuwaambia mambo yako binafsi, kuna wengi wanasherehekea Birthdays kila siku lkn hawafanyi hivyo, hata Mzee Mwinyi alikuwa Raisi wa Pili nchi na bado anaishi tena yeye ndiyo alikuwa na changamoto kubwa zaidi kwani alichukuwa nchi kwenye Ujamaa na kuanzisha Vyama vingi lkn hajawahi kuweka maisha yake public hivyo au mimi atleast sijawahi kusikia.

Sasa watu wanareact kivingine hampendi pia mnafikiri wana chuki, hakuna aliye na chuki bali wote hatuwezi kusifia tu hata kama tunaona kuna kitu hakipo sawa!
Mwenye macho haambiwi tazama ! Na maji yakimwagika hayazoleki !! Muda ni mwalimu mzuri sana !!
 
Back
Top Bottom