Green Guards wa CCM na UVCCM mlipanga 'Kumteka' Mtangazaji wa Wasafi Media (Charles William) ili iweje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,444
108,553
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.

Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.

Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.

Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.

Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.

Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?

Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?

Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
 
Duh...!, kwani mambo haya ya kutekana bado yapo?, si yaliwishwa na naniniliu?.
P
Paskali, wewe ni legend na unakumbuka uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga 2011 baada ya RA kuachana na siasa za maji taka.
Kwenye uchaguzi ule alitangazwe Peter Kafumu kama mshindi.
Ukifuatilia nyuma ya pazia kuna malalamiko mengi sana ya watu kupotezwa, kureruhiwa na wengine kupata ulemavu wa kudumu.
Hivyo naniliu huenda nae hakuhusika au kwa kuwa "damu ya kutopendwa" bila shaka alivishwa joho ambalo hakustahili.
Tunakumbuka yaliyomkuta Mwangosi.

Anyway, tuyaache ya nyuma, tuje kwenye agenda iliyo mezani; kama kuna ushahidi wa mtendaji mkuu wa jumuiya kuomba radhi, hao wahusika wanachukuliwa hatua gani ya kisheria mbele ya pilato ili kuwajibika na njama za uhalifu waliotaka kutenda?

Tuishi kwa amani. Tanzania ni yetu.
Siasa ni hoja, na ukishindwa hoja sio vibaya kujipanga na kuja na hoja bora zaidi ili sio kuviziana.

Iko haja hizi taasisi za vyama vyote, viongozi wake wawe vetted na taasisi kama Uongozi institute.

Tanzania inahitaji viongozi wenye visio na mission ya kuondoa umasikini, ujinga na maradhi. Sio watu wanaotumia kofia za taasisi kufanya majamboz ambayo hayachangii ustawi wa jamii ya wanadamu.

Weekend njema
 
Niliona alipost kwenye instagram yake akaweka had screen shot. na alitonywa na marafiki zake amabo wapo kwenye hilo Group. ndio maana Lissu, Wenje na Lema hawataki kurudi maana wanajua aliyekufa ni Magufuli ila wahuni alio waasisi bado wapo
 
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.

Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.

Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.

Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.

Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.

Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?

Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?

Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
Green guards are a disaster for the nation that should be immediately eliminated to restore tranquility
 
Duh ! Umepiga penyewe watu wengi ni wahanga wa hao jamaa Ambao hawajui thamani ya ukosoaji wao wanajua mkosoaji ni adui mkuu kumbe sivyo kabisa !!
 
Niliona alipost kwenye instagram yake akaweka had screen shot. na alitonywa na marafiki zake amabo wapo kwenye hilo Group. ndio maana lissu,wenje na lema hawataki kurudi maana wanajua aliyekufa ni magufuli ila wahuni alio waasisi bado wapo
Duh !!
 
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.
Na kweli kimejaa wahuni, wavuta bange na wendawazimu wasio na akili hata kidogo!
Tukiendelea kuwachekea hawa WEHU tuendako ni kubaya!
 
Nawashangaa mnavyotoa macho juu ya hili

Juzi tu kuna kijana huko Temeke clip yake ilitumwa humu akisema kuwa UVCCM KAZI YAO KUHARIBU WAZEE KAZI YAO KUWAOMBEA MSAMAHA

Alienda mbali Zaidi kwakusema kuna kijana huko oangoma wamempiga na kumjeruhi halafu wazee waw chama walienda kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom