Kama Chadema wanazuiwa kufanya mikutano nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani? Jaji Mutungi anapaswa kuingilia Kati jambo Hili

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,793
141,688
Si Sawa kuzuia Chama Kikuu cha Upinzani kufanya Siasa zake za ndani nchi nzima

Vyama vya mifukoni vinajulikana lakini Chadema na ACT wazalendo Kule Zanzibar Wana majukumu ya kiserikali wanayotimiza ndio sababu wanapewa ruzuku, waachiwe wafanye Mikutano

Vinginevyo mtatengeneza Huruma ya Wananchi kwa Vyama vya Upinzani ambalo si jambo jema kwa CCM

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
 
Kamwe kuingilia hata weza kwani uhai wa wanakijani upo kwasababu ya watu hao nawashirika wao🏃🏃
 
Uzembe wa mbowe anatoka gerezani anakimbilia ikulu kisa kaitwa

Uzembe kosa la jinai mbowe afikiriwe eneo hilo
 
Si Sawa kuzuia Chama Kikuu cha Upinzani kufanya Siasa zake za ndani nchi nzima

Vyama vya mifukoni vinajulikana lakini Chadema na ACT wazalendo Kule Zanzibar Wana majukumu ya kiserikali wanayotimiza ndio sababu wanapewa ruzuku, waachiwe wafanye Mikutano

Vinginevyo mtatengeneza Huruma ya Wananchi kwa Vyama vya Upinzani ambalo si jambo jema kwa CCM

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

CDM ni chama jinamizi kwa CCM, hakuna namna CCM sasa itaweza tena kushindana na CDM kwa njia halali.
 
Huu ubabe utaisha tu, tuliuona ubabe wa Kihutu seuze huu.
mjkkk.png
 
Jaji Mutungi anawezaje kuingilia kati wakati yeye ndiye aliyeratibu zuio hilo?
 
Back
Top Bottom