Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waliosoma Law school na kufaulu watanielewa vizuri kwenye uzi huu. Tusirudie makosa ya kulazimisha watoto wote wa shule ya msingi hata wasiojua kusoma na kuandika wafaulu kilazima na kujiunga na...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira...
20 Reactions
91 Replies
4K Views
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na...
16 Reactions
46 Replies
4K Views
Utawasikia...Tumepokea bilioni..... Na zingine ziko njiani....kisha utawasikia ahsante sana mheshimiwa rais,pia ikikupendeza tunaomba..... Kisha wanamalizia kwa kusema....naomba uelewe tunakupenda...
2 Reactions
5 Replies
538 Views
Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni...
18 Reactions
84 Replies
11K Views
Kwa sasa naona mashambulizi yamekuwa makubwa juu ya uongozi wa aliyekuwa raisi wa awamu ya tano DR. John Pombe Magufuli kwa kutumia njia yoyote ile kumchafua lakini waandishi wa habari mfano Erick...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu...
22 Reactions
114 Replies
12K Views
Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia...
12 Reactions
75 Replies
10K Views
Ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na mamlaka ya serikali walione hili. Mimi najiuliza kwanini sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru zifungamanishwe na siku ya kumbukumbu ya Baba wa...
4 Reactions
4 Replies
932 Views
Baada ya simulizi ya jana juu kifo Cha Mwalimu Nyerere tarehe 14/10/1999, simulizi iliyopambwa na ulikuwa wapi tarehe hiyo! Niliahidi kuendelea na Uchambuzi wa MAONO ya Mwalimu Kwa Taifa hili...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji...
23 Reactions
186 Replies
11K Views
Habari . Hela tunazomchangia Lissu ni za kujibana mno, pengine tunashindia mlo mmoja ili tuweze kumchangia huyu mwanasiasa machachari aweze kupona na kusomesha watoto wake vizuri. Lakini cha...
16 Reactions
423 Replies
50K Views
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama! SSH pamoja na mapungufu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kutokana na maendeleo ya technolojia,idadi ya watu kuongezeka kwa kasi na uwezo mdogo wa serikali kuzalisha ajira mpya (ukuaji wa uchumi) kuna kila sababu kuiangalia upya sheria ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM. Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa...
4 Reactions
8 Replies
940 Views
Kwa siku za hivi karibuni kuna matukio kadhaa yanaonesha rais wetu mpendwa anasumbuliwa na kitu. Mwanzoni mwa urais tulipata matumaini sana na alijitahidi kuja na kauli za kujenga na matumaini kwa...
26 Reactions
131 Replies
16K Views
Back
Top Bottom