Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa...
Huo ndio ukweli uliodhihirika leo mkoani Geita,kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Shaka Hamdu Shaka, katibu mwenezi wa CCM taifa.Ametabanaisha rasmi umuhimu,ubora pamoja na ubunifu...
Leo katika maadhimisho ya baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere amefanyiwa ibada na viongozi mbalimbali mkoani Kagera akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN...
RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO
Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa
Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku...
Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema sasa yuko tayari kurejea nchini Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka mitano.
Tundu Lissu amesema kwa sasa kilichochobaki ni maandalizi yake...
Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini.
Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=.
Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka...
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba...
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa...
Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums...
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja...
Kumsema vibaya marehemu asiyeweza kujitetea Siyo jambo jema
Mungu ambariki sana Rais Samia kwa kusukuma mbele zaidi gurudumu la maendeleo
Chadema subirini hapo hapo Ufipa st na Siasa zenu mfu...
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani...
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana...
Shule ya Sheria ya Tanzania inaongoza kwa wanafunzi kufeli ukilinganisha na Uganda na Kenya.
Kati ya wanafunzi 633 ni wanafunzi 26 walifaulu ambayo ni 4.1%. Kenya, wanafunzi 290 wamefaulu kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.