Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg

Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa, itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
 
Naunga mkono Hoja kwa 100%!

Ni unafiki mkubwa sana anaounyesha Waziri Mwigulu kama ni kweli kwani akiwa kama Kiongozi ambaye anapaswa kuboresha maisha ya Mtanzania na hii ikiwa ni pamoja Elimu alipaswa awe mfano.

Kwa yeye kutokupeleka mtoto wake Shule ya Serikali in
maana hana Imani na Shule za Serikali ambazo yeye amepewa jukumu la kuziboresha!
 
View attachment 321825 Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha ni #tag inayosomeka #elimuniufunguo#.Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo ktk fulana ya mtoto yenye maandishi ya #FEZASCHOOL# Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya #Elimubure na #Uboreshwaji wa elimu ktk shule za umma wanakimbiza watoto wao ktk shule binafsi?Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini ktk elimu bora ktk shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko? Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sabb ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama #FEZASCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Familia kwanza mimi binafsi siwezi mpeleleka my son or daughter kwenye elimu isiyo na uhakika
Serikali haina sheria inayomkataza mtumishi wake kumpeleka International skuls binti au kijana wake.
kama ni pesa halali haina shida.
Pesa zipo acha watoto wapate elimu bora na si bora elimu.
 
Naunga mkono Hoja kwa 100%!
Ni unafiki mkubwa sana anaounyesha Waziri Mwigulu kama ni kweli kwani akiwa kama Kiongozi ambaye anapaswa kuboresha maisha ya Mtanzania na hii ikiwa ni pamoja Elimu alipaswa awe mfano, kwa yeye kutokupeleka mtoto wake Shule ya Serikali in maana hana Imani na Shule za Serikali ambazo yeye amepewa jukumu la kuziboresha!

Ni wazi huyo mtoto ni wa umri wa Chekea, kwa maana hiyo Mwigulu anampeleka mwanae Chekea ya bei ya juu kabisa nchini. Feza School ni miongoni mwa shule zinatoza gharama za juu sana hapa Tanzania. Mwigulu anajidai ni mzalendo sana hata kuvaa Tia yenye bendera ya Tanzania kumbe naye ni wale wale tu! Na hii inaoenesha jinsi gani Magufuli ana kibarua kigumu kuboresha shule za umma maana mawaziri wako wako busy na kuimirisha shule za Private. Naanza kujua kiburi cha hizi shule za hawa mabwana kinatoka wapi?
 
A
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Ada hapo ni sh 5 m kwa mwaka nursery,primary.Sekondari 8m
 
1454921250973.jpg
 
Hebu acheni ujinga hivi kweli mie niwe na hela nimepeleke mtoto Kayumba?
Wacheni kusomesha mtoto Feza sio kosa maana analipia hela zake
Hapa ni suala la mgongano wa kimaslahi. Ni ngumu mno kwa Waziri kwa sababu yeye tu ana alternative kusimamia suala la kuboresha elimu inayotolewa na Public hiyo ndiyo issue!!
 
Mbona yule wa Msoga wanae wanakamua pale. Ije kuwa wa Mwigulu!!! Waacheni watafute elimu yenye uhakika. Serikalini kazi ipo. Uliza kama mtoto wa Magufuli anasoma shule ya serikali ya msingi alhali Mama ni Mwalimu wa Shule hizo. Patamu hapo. Fuata ninayosema, siyo ninayotenda teh teh teh
 
Mheshimiwa Mwigulu huwa anatuaminisha kuwa ni mzalendo kuanzia skafu mpaka tai..sasa sijajua atazungumza nini hapa?
 
LAKINI KAMA ANAMLIPIA ADA KWA MSHAHARA WAKE,MI KWA UPEO WANGU NAONA HAINA TATIZO,,,TENA SHULE YENYEWE IPO NDANI YA NCHI,INGEKUWA AMEMPELEKA LABDA NJE YA NCHI HAPO KWELI INGEKUWA NONGWA,,NA PIA INGETEGEMEA NA MSHAHARA WAKE, LABDA KAKOPA HELA ILI TU AMSOMESHEE MWANAE,OR WANAE,,,,,CHA MUHIMU NADHANI WAKUMBUKE KUTUBORESHEA SHULE IZI ZA KATA ILI NA SISI WATU WA HALI YA CHINI TUPATE ELIMU BORA,TUSIINGIE GHARAMA KUBWA KUPELEKA WANETU KTK SHULE AMBAZO ZINAKWANGUA KIPATO CHETU DUNI,,
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Mjadala unauzua wewe sasa
 
Hivi rais wa inchi hana uwezo wa kuwapiga maruku mawaziri wake kusomesha watoto wao katika shule hizi binafsi......
 
Hapa ni suala la mgongano wa kimaslahi. Ni ngumu mno kwa Waziri kwa sababu yeye tu ana alternative kusimamia suala la kuboresha elimu inayotolewa na Public hiyo ndiyo issue!!

Nadhani hiyo ni jipu mmojawapo la Magufuli !.
Anyway JP mwenyewe wanae wanasoma shule gani?.
 
Hivi rais wa inchi hana uwezo wa kuwapiga maruku mawaziri wake kusomesha watoto wao katika shule hizi binafsi......
Ethiopia nasikia wemejaribu ili la viongozi wa umma kuongoza kwa kutumia huduma za umma pia na wanafanikiwa kwa kiwango cha juu sana!
 
Naunga mkono Hoja kwa 100%!​
Ni unafiki mkubwa sana anaounyesha Waziri Mwigulu kama ni kweli kwani akiwa kama Kiongozi ambaye anapaswa kuboresha maisha ya Mtanzania na hii ikiwa ni pamoja Elimu alipaswa awe mfano, kwa yeye kutokupeleka mtoto wake Shule ya Serikali in maana hana Imani na Shule za Serikali ambazo yeye amepewa jukumu la kuziboresha!
Sijawahi kukupongeza leo nakupongeza,angalia mnafiki huyo ,mteule wa Makufuli et kavaa tai yenye nembo ya Tanzania.......ila inaonyesha jins gan viongozi wetu walivyo wanafiki........elim bure ni kiini macho ukiona hivyo...nyie mta kaa huku mnabakikutetea ccm kuhusu elim ,bure mwisho wa siku mnaenda lumumba kupewa buku saba,sijui itawasaidia nn ?? Watoto wenu mnawapeleka kama wetu hapo ...kayumba hakuna madawati,wanashinda njaaa
 
Back
Top Bottom