Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,295
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake (CHADEMA DIGITAL)

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
 
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Chadema inakubalika sanaa nchini kuwazuia ni kuaongezea umarufu, police jifunzeni
 
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Alishindwa kuimaliza katili muuaji Magufuli mpaka akimalizika yeye
 
Hilo sio jeshi hicho ni ccm ,jeshi lingeongoza misafara wa karibu lakini polisi ni vibaka Kwa saizi bus za mikoani lazima wabebe vibali
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom