Aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani , Mutafungwa , ameondolewa na kurejeshwa kwenye U RPC na kupelekwa Mkoa wa Mwanza .
Aliyekuwa RPC wa Mwanza Ramadhan Nghazi amepewa kuongoza...
Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza...
Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje?
Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu...
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye...
Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine.
Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura...
Mheshimiwa waziri wa kilimo salam,
Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku.
Mtu unaenda leo...
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia.
Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri...
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda...
SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI?
Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini...
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume...
Licha ya Hawa Mwaifunga ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kufika Mahakamani hapo, hakuweza kuendelea na ushahidi kutokana kuumwa mgongo.
Jaji Cyprian...
Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara...
Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Januari Makamba amesema Serikali inatarajia kusaini makubaliano ya mwisho kuhusu mradi wa uchakataji gesi mkoani Lindi ifikapo Novemba 2022.
Kufuatia utiliaji...
Mkurugenzi wa TAKUKURU, Valentino Mlowola amesema Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL Uchunguzi umekamilika, mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!
Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina...
Leo 19/10/2022 , Rufaa ya maombi ya Jinai iliyokatwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paulo Makonda , IMEANZA KUSIKILIZWA ...
Rais amesikia kilio chetu uwepo wa wabunge wasiojua wanafanya nini bungeni mwisho ni 2025.
Rais ametanabaisha lipo kundi la viongozi waliochaguliwa tu kwasababu ya mawazo ya mtu fulani na si kwa...
Ubalozi wa China nchini Tanzania umeikituhumu chombo cha habari cha Uingereza(BBC) kwa kutunga habari. Ubalozi huo umesema habari ya China kufungua vituo vya polisi Afrika Mashariki ikiwemo...
Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM.
Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Hayo...