Nani aliiunganisha CWT na Serikali? Badala ya kutetea Walimu kinawakandamiza, ukitaka kuanzisha cha kupigania Walimu unashughulikiwa mpaka ukome

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,298
1,677
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.

Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.

Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila awamu ya utawala.

Kulikuwa na jitihada za wadau za kuanzisha chama kingine cha waalimu likini kimepigwa vita Hadi kimeuliwa. Waalimu waliojifanya kujiunga kwenye chama kipya wamepigwa bit hadi wamenywe.

Ukiachilia mbali kuacha kuwatetea waalimu chama hiki kinawakata waalimu hela nyingi sana ambazo hata haijulikani zinafanya kazi gani. Ingekuwa hakuna mkono wa serikali walahi cag angeenda kukagua pale angekuta mauzauza mengi sana.

Kila mwanachama anakatwa 2% ukichukua idadi ya waalimu ambayo inakaribia laki 7 ukakata hizo asilimia unapata hela ndefu sana.

Ukiwasikiliza waalimu wana malalamiko na manung'uniko ambayo hakuna mtu sahihi wa kuubana serikali kwa niaba yao.

Waalimu ndio kundi kubwa sana la waajiriwa katika serikali ambalo linanufaika kidogo sana na keki ya nchi hii.

Yaani kazi ngumu mshahara mdogo hakuna posho kero kibao wakati wao ni wawezeshaji wa taaluma zote hii sio sawa hata kidogo.

Naomba waalimu tujitambue tuanzishe chama cha kutetea sio chama cha kutulainisha na kutuibia hela.
 
BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
546
692
Sasa hivi tutarudi enzi za NUTA ambapo Waziri wa Kazi ndiye alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho cha wafanyakazi.
 
Nzie ya Mana

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
1,263
1,425
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.

Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.

Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila awamu ya utawala.

Kulikuwa na jitihada za wadau za kuanzisha chama kingine cha waalimu likini kimepigwa vita Hadi kimeuliwa. Waalimu waliojifanya kujiunga kwenye chama kipya wamepigwa bit hadi wamenywe.

Ukiachilia mbali kuacha kuwatetea waalimu chama hiki kinawakata waalimu hela nyingi sana ambazo hata haijulikani zinafanya kazi gani. Ingekuwa hakuna mkono wa serikali walahi cag angeenda kukagua pale angekuta mauzauza mengi sana.

Kila mwanachama anakatwa 2% ukichukua idadi ya waalimu ambayo inakaribia laki 7 ukakata hizo asilimia unapata hela ndefu sana.

Ukiwasikiliza waalimu wana malalamiko na manung'uniko ambayo hakuna mtu sahihi wa kuubana serikali kwa niaba yao.

Waalimu ndio kundi kubwa sana la waajiriwa katika serikali ambalo linanufaika kidogo sana na keki ya nchi hii.

Yaani kazi ngumu mshahara mdogo hakuna posho kero kibao wakati wao ni wawezeshaji wa taaluma zote hii sio sawa hata kidogo.

Naomba waalimu tujitambue tuanzishe chama cha kutetea sio chama cha kutulainisha na kutuibia hela.
Cwt ni matakataka na maumbwa kabisa, yamekuwa ni vibaraka wa ccm! Shenzi kabisa!
 
Mwanakwetuuu

JF-Expert Member
Apr 8, 2022
975
2,182
Katiba mpya itaondoa huo upumbavu ,dawa yake ni kuwaondoa hawa CCM madarakani ni wezi,wahuni,chawa ,bahati mbaya mumezalusha wasomi wahuni ,mukandala,mruma,kabudi wanasaliti watanzania Kwa uwongooooo
 
The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,298
1,677
Katiba mpya itaondoa huo upumbavu ,dawa yake ni kuwaondoa hawa CCM madarakani ni wezi,wahuni,chawa ,bahati mbaya mumezalusha wasomi wahuni ,mukandala,mruma,kabudi wanasaliti watanzania Kwa uwongooooo
Sasa tujadili tatizo kabla ya ccm kuondoka na kabla ya katiba mpya maana hatuna matumaini ya lini katiba mpya inapatikana ila maisha lazima yaendelee
 
Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
2,752
2,942
Hiyo ni Kamba ya serikali ya kuwashikia walimu, ndio ni lazima kujiunga. Vyama vya wafanyakazi vyote ni chaka la ufisadi kuwanyonya watumishi.
 
Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,658
2,740
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.

Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.

Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila awamu ya utawala.

Kulikuwa na jitihada za wadau za kuanzisha chama kingine cha waalimu likini kimepigwa vita Hadi kimeuliwa. Waalimu waliojifanya kujiunga kwenye chama kipya wamepigwa bit hadi wamenywe.

Ukiachilia mbali kuacha kuwatetea waalimu chama hiki kinawakata waalimu hela nyingi sana ambazo hata haijulikani zinafanya kazi gani. Ingekuwa hakuna mkono wa serikali walahi cag angeenda kukagua pale angekuta mauzauza mengi sana.

Kila mwanachama anakatwa 2% ukichukua idadi ya waalimu ambayo inakaribia laki 7 ukakata hizo asilimia unapata hela ndefu sana.

Ukiwasikiliza waalimu wana malalamiko na manung'uniko ambayo hakuna mtu sahihi wa kuubana serikali kwa niaba yao.

Waalimu ndio kundi kubwa sana la waajiriwa katika serikali ambalo linanufaika kidogo sana na keki ya nchi hii.

Yaani kazi ngumu mshahara mdogo hakuna posho kero kibao wakati wao ni wawezeshaji wa taaluma zote hii sio sawa hata kidogo.

Naomba waalimu tujitambue tuanzishe chama cha kutetea sio chama cha kutulainisha na kutuibia hela.
WALIMU wa Nchi hii ni Wapiga kura wazuri wa CCM na Wasimamizi au Walinda kura Wazuri wa Kura za ccm
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
3,410
3,961
 
Mwanakwetuuu

JF-Expert Member
Apr 8, 2022
975
2,182
Sasa tujadili tatizo kabla ya ccm kuondoka na kabla ya katiba mpya maana hatuna matumaini ya lini katiba mpya inapatikana ila maisha lazima yaendelee
Afisa elimu CCM,afisa utumishi CCM,mkurugenzi CCM, hao kuwaondoa lazima tuwe na katiba ,halafu unaposema tusubiri ,tunasubiri Nani suala la katiba ni watanzania wanaopenda nchi Yao kila mtu aongee,vitendo nk.Tunamsubiri Nani katiba ni wananchi wenyewe
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom