Waziri wa Elimu awajibike kwa hili

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kama taifa kuwa na idadi kama hii ya wanafunzi wa kidato cha pili wasiojua kusoma na kuandika ni aibu sana.

Waziri wa elimu aliyepita inafaa awajibike ili liwe fundisho kwa wengine.

 
Kujiuzuru kwa waziri kwenye serikali ya CCM ni ngumu mno, ni rahisi mno kuingia ikulu bila ya kuonekana kuliko kwa waziri kujiuzuru, basi hata to apologize nayo itakua shida mh.waziri?
 
Kama taifa kuwa na idadi kama hii ya wanafunzi wa kidato cha pili wasiojua kusoma na kuandika ni aibu sana.

Waziri wa elimu aliyepita inafaa awajibike ili liwe fundisho kwa wengine.

View attachment 2393101
Wizara ya elimu na mamlaka ya nchi inaharibiwa na wanasiasa wenye kutafuta sifa na kuandika historia zao kwenye kuta. Alianza Joseph Mungai (RIP) wakafuata na wengine kwa kila aina ya mabadiliko ya kila aina yasiyo na tija

Inawezekanaje mtoto anasoma miaka sita ya shule ya msingi lakini hafanyi mtihani na cheti hapati?

Haya mawazo ni wataalamu wa kutoka sayari gani walikaa na kupendekeza udhaifu huu na bado waziri wa wizara husika bado yuko madarakani tu bila kujiuzulu?

Wanasisa wa CCM wanachezea sana akili za watanzania
 
Back
Top Bottom