TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA
Cairo-Misri
Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri Mhe Profesor Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuekeza timu alioambatana nayo kukutana haraka na kukubaliana namna ya kuendelea na Mradi wa Uchimbaji wa Visima 30 na Ujenzi wa Mabwawa Mawili (2) uliokwama kutekelezeka na Serikali ya Misri nchini Tanzania.
Leo tarehe 18 October Cairo-Misri Wataalamu wa Tanzania wakiongozwa na Dkt. George Lugomela ambaye ni Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji - Wizara ya Maji wamekutana na timu ya majadiliano kutoka Wizara ya Rasilimali za Maji na Umwagiliaji ya Misri wakiongozwa na Mkurugenzi Dr. Mamdouh Hassan na kujadili kwa kina Mradi wa Uchimbaji wa Visima virefu 30 na Ujenzi wa Mabwawa makubwa Mawili (2) ambao utekelezaji wake ulikuwa umekwama kwa muda mrefu.
Majadiliano hayo yamefanyika katika Hotel ya Nile Ritz Carlton sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Maji ya Cairo 2022 ambayo yanaendelea ukumbi huo.
Wataalamu hao wamekubaliana juu ya hatua za kuchukua ili kukwamua Mradi huo na kuendelea kibainisha mipango ambayo inakubalika kwa pande zote mbili. Makubalino yaliyofikiwa yatawezesha kuendelea kwa hatua za kuwekwa saini kwa Mkataba wa Ujumla wa Ushirikiano wa Kiufundi (Framework Agreement) ambao utawezesha wataalamu wa Nchi ya Misri kuja Tanzania na kufanya kazi na Wataalamu wa Tanzania ili kuweza kuuandaa vizuri zaidi mradi huo na kufikia gharama halisi ya Mradi kabla ya kuwekwa saini kwa Mkataba wa Fedha ambao utawezesha utekelezaji wa mradi kuanza haraka iwezekanavyo na kusaidia maeneo yenye changamoto kubwa ya Maji nchini yanayohitaji Visima na Mabwawa.TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA

Wataalamu hao wamekubaliana juu ya hatua za kuchukua ili kukwamua Mradi huo na kuendelea kibainisha mipango ambayo inakubalika kwa pande zote mbili. Makubalino yaliyofikiwa yatawezesha kuendelea kwa hatua za kuwekwa saini kwa Mkataba wa Ujumla wa Ushirikiano wa Kiufundi (Framework Agreement) ambao utawezesha wataalamu wa Nchi ya Misri kuja Tanzania na kufanya kazi na Wataalamu wa Tanzania ili kuweza kuuandaa vizuri zaidi mradi huo na kufikia gharama halisi ya Mradi kabla ya kuwekwa saini kwa Mkataba wa Fedha ambao utawezesha utekelezaji wa mradi kuanza haraka iwezekanavyo na kusaidia maeneo yenye changamoto kubwa ya Maji nchini yanayohitaji Visima na Mabwawa.