Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika mfululizo wetu wa barua kutoka kwa waandishi wa Kiafrika, mwanahabari wa Tanzania Sammy Awami anapendekeza kwamba nchi yake inaweza kuiona Kenya kama mfano wake wa kuigwa kisiasa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Makalla amesema visima vyote 197 ambavyo vilianza kujengwa 1990's vitashughulikiwa haraka ili vitoe maji yatakayowasaidia wananchi wa mkoa wake. Source: ITV habari
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndivyo itakavyokuwa kama unabisha subiri muda ufike Rais ataendelea kutoka CCM tena kwa Ushindi wa kishindo Ila kwenye ubunge Chadema watasumbua Sana kwa sababu chama hicho cha Ufipa st ni cha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama inavyojulikana kwa Utamaduni wa CCM mgombea Urais wa JMT atakuwa Rais Samia na fomu itakuwa Moja Kwa upande wa chama kikuu cha Upinzani Chadema inadaiwa atasimama Meya mstaafu wa Manispaa...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakati baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitaka makada wenzao waendeleze utamaduni wa chama hicho wa kutochukua fomu za kuomba uteuzi wa urais ndani ya chama hicho mwaka 2025...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuwa nashuhudia viongozi mbalimbali wakiapa kwa kushikishwa biblia au quran na mwisho wa viapo vyao wanasema "Ewe mwenyezi mungu nisaidie".Huo ni mkataba kati ya mungu na muapaji Jambo la...
1 Reactions
4 Replies
550 Views
Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo "Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri...
0 Reactions
7 Replies
597 Views
Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Au nasema Uwongo ndugu zangu. Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original. Sasa utakuta 2025 Chadema...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
03 November 2022 Zaidi ya wajumbe 250 toka nchi 40 kutua mjini Zanzibar hayo yamebainishwa na mmoja wa waandaji wa mkutano huo balozi-maalum utalii anayeiwakilisha Seychelles nchi Tanzania Bi...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine. Itakumbukwa kwamba Juma Raibu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki. Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming...
18 Reactions
53 Replies
3K Views
Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi. Badala Kutumia Mamilioni...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa...
1 Reactions
4 Replies
884 Views
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Why not vice versa? Mimi nadhani tunahitajiana, lakini picha inaonyesha kuwa sisi tuna uhitaji wao kulio wao walivyo. Tunawezaje kurekebisha hili?
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Spika wa bunge Dr Tulia ameitaka Wizara ya Nishati kuliweka Kundi la Wafanyabiashara katika Vipaumbele vyake kwa watakaopatiwa Umeme Mchana wakati huu wa mgao Dr Tulia amesema ni vema...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom