Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,220
9,647
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa mafuta ndio injini ya uchumi wetu, Ndio moyo wa uchumi wetu, Ndio mboni ya shughuli nyingi za kiuchumi hasa za usafirishaji wa bidhàa kuelekea maeneo mbalimbali hapa nchini.

Jambo hili lili ilazimu serikali Ya mama yetu Mpendwa mama Samia kutoa kiasi Cha billioni moja kila mwezi Kama Ruzuku ili kupunguza makali ya Bei iliyokuwa imetokana na kupanda katika soko la Dunia,hali iliyotokana na Vita ya Ukrein, serikali ilifanikiwa katika Jambo hili ukilinganisha na majirani zetu ambao wananchi wao walipitia katika bonde la Moto na maumivu ya mfumuko wa Bei ya nishati hii adhimu na muhimu.

Sasa serikali yetu imetangaza Bei mpya zinazoonyesha kushuka kwa Bei za mafuta, Ni dhahiri Sasa mfumuko wa Bei unakwenda kupungua, Nauli zinakwenda kupungua, Bei za usafirishaji wa mizigo zinakwenda kushuka, watu Kama bodaboda ,waendesha bajaji,mafuta, magari na vyombo vyote vya Moto vinavyotumika kwa biashara ya usafirishaji wataanza kuiona faida sasa.

Rai yangu kwa serikali yangu ni kuwa Naiomba ipitie Tena ukokotoaji wa viwango vya Nauli ili kushuka kwa Bei ya mafuta kutuguse wananchi wa kipato Cha chini, tunataka kuona Nauli zinashuka, lazima wamiliki wa vyombo vya Moto wataarifiwe na kupewa miongozo ya kupunguza Bei za Nauli na watimize wajibu wao wa kushusha Bei Kama walivyopandisha, watanzania Tunaitegemea serikali yetu kutusaidia na kutusemea katika hili maana yenyewe ndio sauti na nguvu yetu watanzania na mtetezi wetu wanyonge

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
Unahangaika sana, kama fate yako ni ya kunguni nakuhakikishia utaishia kwenye ukunguni hadi unaingia shimo la hewa.

Babako akiona ulivyo kinyaa atajutia sana kwamba bora angepiga puchu tu kuliko kuzaa aibu ya kiasi hiki.

Pathetic fool.
 
Mfumuko wa bei hautashuka hususani wa gharama za usafirishaji kwa sababu Wana biashara bado wako kwenye uncertainty ya Bei ya mafuta kwenye soko la Dunia..

So hakuna kitakachoshuka Kisa mafuta..Ili inflation ishuke ambayo iko 4.8% japo ni ndogo zaidi kwa EAC labda mvua zinyeshe Ili Bei ya vyakula ishuke na umeme wa uhakika upatikane..

Saizi kuna mgao wa Umeme kwa hiyo gharama za uzalishaji Viwandani zitaenda juu na bidhaa kwenda juu zaidi.
 
Mfumuko wa bei hautashuka hususani wa gharama za usafirishaji kwa sababu Wana biashara bado wako kwenye uncertainty ya Bei ya mafuta kwenye soko la Dunia....

Mfumuko wa bei ni nchi karibu zote duniani, mvua zimeanza kunyesha wakulima wawahi kupanda mazao ya chakula yanakomaa haraka na wizara ya kilimo ihamasishe wakulima wapande mazao yanayohimili ukame kama mtama, muhogo, viazi vitamu ili tukiwa na chakula cha kutosha na ziada iuzwe nje mkulima anufaike kwahiyo hali ya mfumuko wa bei itaanza kutengamaa April 2023 kama mvua zitanyesha vizuri
 
IMG_20221101_154222.jpg
 
Unahangaika sana, kama fate yako ni ya kunguni nakuhakikishia utaishia kwenye ukunguni hadi unaingia shimo la hewa.

Babako akiona ulivyo kinyaa atajutia sana kwamba bora angepiga puchu tu kuliko kuzaa aibu ya kiasi hiki.

Pathetic fool.
Changia hoja kwa lugha ya Hekima na busara, Hakuna ushujaa kwa mtu kujaa na kutoa matusi kinywani
 
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa mafuta ndio injini ya uchumi wetu, Ndio moyo wa uchumi wetu, Ndio mboni ya shughuli nyingi za kiuchumi hasa za usafirishaji wa bidhàa kuelekea maeneo mbalimbali hapa nchini.

Jambo hili lili ilazimu serikali Ya mama yetu Mpendwa mama Samia kutoa kiasi Cha billioni moja kila mwezi Kama Ruzuku ili kupunguza makali ya Bei iliyokuwa imetokana na kupanda katika soko la Dunia,hali iliyotokana na Vita ya Ukrein, serikali ilifanikiwa katika Jambo hili ukilinganisha na majirani zetu ambao wananchi wao walipitia katika bonde la Moto na maumivu ya mfumuko wa Bei ya nishati hii adhimu na muhimu.

Sasa serikali yetu imetangaza Bei mpya zinazoonyesha kushuka kwa Bei za mafuta, Ni dhahiri Sasa mfumuko wa Bei unakwenda kupungua, Nauli zinakwenda kupungua, Bei za usafirishaji wa mizigo zinakwenda kushuka, watu Kama bodaboda ,waendesha bajaji,mafuta, magari na vyombo vyote vya Moto vinavyotumika kwa biashara ya usafirishaji wataanza kuiona faida sasa.

Rai yangu kwa serikali yangu ni kuwa Naiomba ipitie Tena ukokotoaji wa viwango vya Nauli ili kushuka kwa Bei ya mafuta kutuguse wananchi wa kipato Cha chini, tunataka kuona Nauli zinashuka, lazima wamiliki wa vyombo vya Moto wataarifiwe na kupewa miongozo ya kupunguza Bei za Nauli na watimize wajibu wao wa kushusha Bei Kama walivyopandisha, watanzania Tunaitegemea serikali yetu kutusaidia na kutusemea katika hili maana yenyewe ndio sauti na nguvu yetu watanzania na mtetezi wetu wanyonge

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Hii kasumba ya kusifiasifia watawala imekuwa sehemu ya maisha katika Tanzania ya leo. Teuzi uzingatia sifa na vigezo kwa hyo tukumbuke katika kujikombo hivyo vigezo haviepukiki japo kufahamiana kupo Kama kawaida!.
 
Ha ha ha ha uchawa mwingine huu hatari sana

Bei ya mafuta si imeshuka Duniani kote au yy Rais wa Dunia hahaha
 
Kama mnajuwa kuwa Bei ya mafuta inaathiriwa na soko la Dunia kwanini huwa mnapiga makelele yenu kuilamu serikali? Kwanini mlishindwa hata kuipongeza serikali ilipokuwa inatoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi? Kumbe huwa mnaelewa halafu mnakuwa mnapinga ukweli ili kujifurahisha?
 
Hahaha Acha siasa kijana, Bilion Mia unaijua? Unajua watoto wamekosa mikopo total ni sh ngapi?

Achana na utetezi wa wanasiasa, how watoe Bilion Mia kila mwez na wasitoe Bilion 20 tupate maji? Au Bilion 30 watoto wapate mikopo?

Na ww unaaamini Tu ukisikia mambo ya Bilion Mia
 
Lazima ujuwe na kutambua kuwa serikali inapofanya utekelezaji na upangaji wa bajeti yake inahakikisha kila secta inaguswa kwa namna yoyote, Hakuna serikali ya mikopo tu au maji tu au umeme tu, lazima Mambo yote yaende kwa pamoja bila kuachwa nyuma chochote, maana ukiacha nyuma secta moja ujuwe kuwa umewaacha nyuma kundi la watanzania,
 
Hii kasumba ya kusifiasifia watawala imekuwa sehemu ya maisha katika Tanzania ya leo. Teuzi uzingatia sifa na vigezo kwa hyo tukumbuke katika kujikombo hivyo vigezo haviepukiki japo kufahamiana kupo Kama kawaida!.
Kupongeza na kumsifia kiongozi anayefanya vizuri siyo uchawa Bali Ni sehemu ya kumtia moyo na kumpa nguvu ya kusonga mbele zaidi,Hii ndio sababu ya utolewaji wa Tuzo katika nyanja mbalimbali ili kuwapa moyo na kutambua mchango wa wahusika katika jamii
 
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa mafuta ndio injini ya uchumi wetu, Ndio moyo wa uchumi wetu, Ndio mboni ya shughuli nyingi za kiuchumi hasa za usafirishaji wa bidhàa kuelekea maeneo mbalimbali hapa nchini.

Jambo hili lili ilazimu serikali Ya mama yetu Mpendwa mama Samia kutoa kiasi Cha billioni moja kila mwezi Kama Ruzuku ili kupunguza makali ya Bei iliyokuwa imetokana na kupanda katika soko la Dunia,hali iliyotokana na Vita ya Ukrein, serikali ilifanikiwa katika Jambo hili ukilinganisha na majirani zetu ambao wananchi wao walipitia katika bonde la Moto na maumivu ya mfumuko wa Bei ya nishati hii adhimu na muhimu.

Sasa serikali yetu imetangaza Bei mpya zinazoonyesha kushuka kwa Bei za mafuta, Ni dhahiri Sasa mfumuko wa Bei unakwenda kupungua, Nauli zinakwenda kupungua, Bei za usafirishaji wa mizigo zinakwenda kushuka, watu Kama bodaboda ,waendesha bajaji,mafuta, magari na vyombo vyote vya Moto vinavyotumika kwa biashara ya usafirishaji wataanza kuiona faida sasa.

Rai yangu kwa serikali yangu ni kuwa Naiomba ipitie Tena ukokotoaji wa viwango vya Nauli ili kushuka kwa Bei ya mafuta kutuguse wananchi wa kipato Cha chini, tunataka kuona Nauli zinashuka, lazima wamiliki wa vyombo vya Moto wataarifiwe na kupewa miongozo ya kupunguza Bei za Nauli na watimize wajibu wao wa kushusha Bei Kama walivyopandisha, watanzania Tunaitegemea serikali yetu kutusaidia na kutusemea katika hili maana yenyewe ndio sauti na nguvu yetu watanzania na mtetezi wetu wanyonge

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
hahaaa!!!wewe unakuja na ngonjera zako ,hata hujui ni nini kinapelekea bei ya mafuta kupanda au kushuka,sasa kwa taarifa yako tunakoelekea mafuta yanaenda kupanda bei tena kama OPEC+wanaenda kupunguza uzalishaji kama wanavyosema.Na hata jana DG wa EWURA,ameshatoa angalizo hilo.Kuhusu nauli hilo haliwezi kushuka tena hata mafuta yateremke vipi,ndio imetoka hiyo.
 
yakipanda kwenye soko la Dunia Hilo lipo inje ya uwezo wetu maana serikali haina uwezo wakuzuia mafuta yasipande katika soko la Dunia, Kazi ya serikali Ni kuangalia ichukue hatua gani kupunguza makali ya Bei nchini Kama ambavyo ilifanya na kuchukua hatua ya kutoa Ruzuku
 
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa mafuta ndio injini ya uchumi wetu, Ndio moyo wa uchumi wetu, Ndio mboni ya shughuli nyingi za kiuchumi hasa za usafirishaji wa bidhàa kuelekea maeneo mbalimbali hapa nchini.

Jambo hili lili ilazimu serikali Ya mama yetu Mpendwa mama Samia kutoa kiasi Cha billioni moja kila mwezi Kama Ruzuku ili kupunguza makali ya Bei iliyokuwa imetokana na kupanda katika soko la Dunia,hali iliyotokana na Vita ya Ukrein, serikali ilifanikiwa katika Jambo hili ukilinganisha na majirani zetu ambao wananchi wao walipitia katika bonde la Moto na maumivu ya mfumuko wa Bei ya nishati hii adhimu na muhimu.

Sasa serikali yetu imetangaza Bei mpya zinazoonyesha kushuka kwa Bei za mafuta, Ni dhahiri Sasa mfumuko wa Bei unakwenda kupungua, Nauli zinakwenda kupungua, Bei za usafirishaji wa mizigo zinakwenda kushuka, watu Kama bodaboda ,waendesha bajaji,mafuta, magari na vyombo vyote vya Moto vinavyotumika kwa biashara ya usafirishaji wataanza kuiona faida sasa.

Rai yangu kwa serikali yangu ni kuwa Naiomba ipitie Tena ukokotoaji wa viwango vya Nauli ili kushuka kwa Bei ya mafuta kutuguse wananchi wa kipato Cha chini, tunataka kuona Nauli zinashuka, lazima wamiliki wa vyombo vya Moto wataarifiwe na kupewa miongozo ya kupunguza Bei za Nauli na watimize wajibu wao wa kushusha Bei Kama walivyopandisha, watanzania Tunaitegemea serikali yetu kutusaidia na kutusemea katika hili maana yenyewe ndio sauti na nguvu yetu watanzania na mtetezi wetu wanyonge

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Unawaza kwa kutumia Ndumku,
 
Back
Top Bottom