Rashda Zunde
Senior Member
- May 28, 2022
- 167
- 185
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha.
Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametoa dola za Marekani milioni 300 za kuendeleza kilimo barani Afrika.
Ili kuimarisha kilimo, Watanzania wanatakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua ambacho hakina uhakika, bali watumie teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji kwani ni rahisi na kinasaidia nchi kuwa na uhakika wa chakula kwa vipindi vyote vya mwaka.
Mafanikio hayo yametokana na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi.