Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025! Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Wataalamu wa Maji kutoka Bodi ya Bonde la mto Wami na Ruvu wamesema Tanzania ina akiba kubwa sana ya Maji Chini ya ardhi na yaliyotumika ni 2% tu Hivyo Wananchi wametakiwa kutokuwa na Wasiwasi...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM, Kwenye shuguhuli zote za Kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema ni aibu sana kwa Madiwani na maafisa wa Halmashauri kufisadi Fedha za Tozo Wabunge tulipopitisha Tozo tulisemwa na kuzomewa sana na Wananchi huko...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni matunda ya ziara ya Rais wa JMT mh Samia nchini China Mikataba 15 yo ushirikiano imetiwa saini ikiwa ni pamoja na Tanzania kupewa mkopo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema TRA ilipanga kukusanya kodi ya Tsh. Trilioni 20.7 kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2021 lakini ilikusanya Trilioni 17.89 pekee. Upungufu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutorekebishwa kwa mishahara hata baada ya kupandishwa cheo kwa askari wa Jeshi la Polisi, kumezua malalamiko kwamba hali hiyo inaathiri mafao yao wanapostaafu. Licha ya kilio hicho, kwa upande...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya...
3 Reactions
9 Replies
848 Views
Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema Mkuu wa Wilaya japokuwa ndiye mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kiuhalisia hana ubavu mbele ya Mkurugenzi Akitunisha msuli kesho akienda...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Malalamiko ya watanzania kwamba viongozi wanasaini mikataba bila kusoma sasa yamethibitishwa wazi na mwakilishi wa Dimbani zanzibar Bw.Mwinyi Haji Makame(CCM) kwa Bw. Bernad Membe ktk kile...
24 Reactions
142 Replies
14K Views
Lakini zama hizi utawaona Ayo tv, Global na Tanzania Daima tu wengine hawajitambui Nusrat Henje ndiye Mtu muhimu sana katika Kesi hii ya akina Halima Mdee na wenzake kwa sababu amebeba SIRI nzito...
4 Reactions
13 Replies
820 Views
..kweli TL ni kiboko yao. ..tangu aulize swali hilo hatujasikia tena habari ya watu kupimwa mkojo. ..huyu jamaa ni mtu wa mizaha na mchekeshaji. ..kuna wanasiasa wachache sana nchi hii...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa Mchongo Saashisha Mafuwe ameanza kukurupuka na kuweweseka kutokana na ujio wa Kaka Freeman Mbowe Mwamba na hii ni baada ya Wananchi kumweleza hadharani kwenye mikutano yake ya hadhara...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti! Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama. Una Ziwa Tanganyika. Una Ziwa Nyasa na...
31 Reactions
103 Replies
6K Views
Ieleweke kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani katika Bunge lililopita ndiyo walikuwa wanaongoza Kamati ya PAC wakiwakilishwa na mama Kaboyoka. Leo bungeni Wabunge wa CCM wamesema TANROADS...
3 Reactions
6 Replies
814 Views
Wakuu Taarifa ni kwamba Kampuni nyingi za kiarabu ndizo zitakazokuwa kipaumbele kwenye uwekezaji hapa nchni Wamasai wamefukuzwa ngorongoro na wamepewa Watt wa mfalme wa Oman Miradi wa Mwendo...
29 Reactions
116 Replies
7K Views
Back
Top Bottom