Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi. Kila la heri Rais Samia katika...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Suala la Maji ni kama Laana kwetu!!! Muktasari: Mbunge wa Same Mashiriki (CCM), Anne Kilango amelalamikia baadhi ya wakazi wa kata ya Kihurio kwenye jimbo lake kudanganywa kuhusu changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache. Miaka ya...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena. Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
UVCCM_ TAIFA KESHO SEPT. 08, 2022 UPANGA, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
"SAASHISHA MABARABARA", "SAASHISHA MADARAJA", "SAASHISHA MAENDELEO" Sanya Online Blog Usishangae ndugu msomaji, katika viunga vya Jimbo la Hai waandishi wetu wameibuka na majina mapya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali...
22 Reactions
244 Replies
28K Views
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Tume ya Taifa ya Uchaguzi Gerald Mwanilwa, leo amekabidhi magari saba kwa Viongozi wa Idara mbalimbali za Tume ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya upokeaji wa...
7 Reactions
100 Replies
14K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022...
14 Reactions
70 Replies
6K Views
Leo Novemba 1, bunge la Tanzania limesoma kwa mara ya ili muswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ikiwa ni baada ya kuokea maendekezo kutoka kwa wadau mbali mbali ikiwemo Jamii Forums...
1 Reactions
3 Replies
840 Views
Kwa mtu mwenye akili timamu, hata akikosa umakini, lakini matatizo yakimpata huamsha akili yake iliyosinzia, na hivyo huchukua hatua. Kwa kawaida kama ukijenga nyumba, ukaezeka, upepo mkali...
48 Reactions
88 Replies
5K Views
Ikumbukwe kuwa mtaji ulioanzishwa na kampuni ya kufua umeme nchini tanzania ni Dolar milion 320 hata hivyo serikali ya tanzania ilikopa kiasi cha Dolar milion 240 cha ajabu baada ya kukamilika kwa...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri Mkuu mh Majaliwa amefungua mradi wa Maji wa lita milioni 70 daily huko Kigamboni na kumuagiza Waziri Aweso ahakikishe kila kijiji kinakuwa na kisima cha Maji kwa kuanzia Mh Majaliwa pia...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni, Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph...
15 Reactions
230 Replies
18K Views
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni...
23 Reactions
208 Replies
13K Views
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM. Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi? Ina maana hii miradi...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom