Kwanini Marais wanaoingia madarakani Afrika wana "uchu" wa kujitambulisha Ulaya, Amerika na Asia but not vice versa?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,388
73,983
Why not vice versa?

Mimi nadhani tunahitajiana, lakini picha inaonyesha kuwa sisi tuna uhitaji wao kulio wao walivyo. Tunawezaje kurekebisha hili?
 
Kwa sababu Africa usipojitambulisha hakuna mtu atakutambua unless uwe insane kama yule mwingine..

Mwenye njaa ndio anaenda kuomba.
 
Back
Top Bottom