Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA...
Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara.
Takwimu...
Nimemsikia Cypriani Musiba anasema Waziri January Makamba alimpigia simu Usiku wa saa 7 na Kumtishia.
Sasa Musiba anasema na kuuliza kwamba huyu Makamba ni nani katika nchi hii? Ana nini kwenye...
Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African...
Tuambiane tu ukweli. Kwa sasa Serikali ya CCM imeishiwa ubunifu wa maendeleo kwa wananchi. Imechoka sana. Miaka 60 haina ambacho imefanya cha maana. Ubunif umeisha imekuwa business as usual.
Maji...
Baada ya matokeo ya sensa ya watu na makazi nimehiridhisha kwamba ni wazi uwezi kuwa Rais bila kushinda kanda ya ziwa! Mara nyingi tumekuwa tukiwalaumu viongozi kwanini kila muda wanakwenda kanda...
Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa.
Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa...
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema timu ya wapelelezi imetumwa kwenda Nairobi, Kenya kufanya mahojiano na Tundu Lissu.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP, SIMON SIRRO
Mbali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitangaza Matokeo ya Sensa na Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 31 Oktoba, 2022
Samia...
Baadaye ya kuachiwa kwa dhamana Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu muda huu anaongea na waandishi wa habari.
==>>Tundu Lissu "Hakuna gereza litakalotunyamazisha. Mwambieni Magufuli, tutanyamaza...
Niliamini jambo la kwanza ambalo Wabunge wangeanza nalo bila kujali itikadi ya vyama ni Suala la Uhaba wa Maji kwa kupeleka Hoja maalumu.
Kumbe nilikariri enzi za Tundu Antipas Lissu.
J5...
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari...
Hospitali ya Nairobi alikolazwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha wanasheria nchini Tundu Lissu imesema haijapokea fedha zozote kutoka bunge la Tanzania hadi kufikia jana saa 10...
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuanzishwa kwa kikosi kazi kitakachoshughulikia nishati safi ya kupikia, lengo likiwa kuanzisha safari ya kulitoa Taifa kwenye matumizi ya nishati isiyofaa...
Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu.
Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais...
Naomba nami usinisahau ktk ufalme wako. Nimeona mambo makubwa uliyoyafanya mpaka nawaza ulikuwa wapi toka awamu ya kwanza? Una mazuri yote....huna baya mama. Huna baya na mtu. Umeifungua nchi...
Huu ndo ukweli, hapa duniani kama kuna viumbe ambavyo havipendani ni watu weusi
Tunabaguana sisi kwa sisi na wakati wote tuna one color tunaishi one continent
Lakini tunavyo baguwana utafikiri...
Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.