peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 9,632
- 15,734
Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo.
“ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi za kiraia ili kuangalia ni wapi penye changamoto zaidi papewe kipaumbele,”.
Kinachoendelea Hai ni mbunge kutumia fedha za mfuko wa Jimbo kwa matumizi binafsi na wadiwani wakimuuliza unajenga uadui mkubwa.
===================
Mbunge atoa ufafanuzi kuhusu madai hayo
Akijibu taarifa hizo, Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe amekanusha uwepo wa madai hayo ya matumizi mabaya ya Fedha za Mfuko wa Jimbo akieleza hakuna ukweli katika suala hilo.
Anasema “Fedha hizo zipo kwa mujibu wa Sheria, haziingii kwenye akaunti ya Mbunge kama wengi wanavyodhani, zinaingia katika akaunti ya Mkurugenzi wa Halmashauri. Zikiingia Mkurugenzi anamtaarifu Mbunge kama Mwneykiti wa Mfuko wa Jimbo ambaye anaitisha kikao kwa ajili ya maelekezo, fedha hizo zinaenda kwenye miradi ya Serikali.
“Mimi huwa huwa ninaita Madiwani tunajadili kuhusu miradi na kuidhinisha, lakini wanaonunua, wanaosambaza, wanaosimamia ni Halmashauri na siyo mimi Mbunge.”
Ametaja Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo kuwa ni:
1. Saashisha E Mafuwe (Mb)- Mwenyekiti
2. Leonard Luhwavi - Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na uratibu -Katibu.
3. Judica J. Munisi - Diwani wa Machane Kaskazin -Mjumbe
4. Zanika A. Mushi Diwani V/Maalum-Mjumbe.
5. Hellen J. Munuo- Mtendaji Kata ya Muungano-Mjumbe.
6. Andrew E. Msuya - Mtendaji Kata ya Masama Mashar - Mjumbe.
7. Asifiwe James Malya - Mwakilishi kutoka NGO
Pia soma;
www.jamiiforums.com

Taarifa rasmi ya Fedha za Mfuko wa Jimbo la Hai baada ya kudaiwa Mbunge anazitumia ndivyo sivyo
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe Pia soma: Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo