Tetesi: Boniface Jacob kugombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA 2025

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Kama inavyojulikana kwa Utamaduni wa CCM mgombea Urais wa JMT atakuwa Rais Samia na fomu itakuwa Moja

Kwa upande wa chama kikuu cha Upinzani Chadema inadaiwa atasimama Meya mstaafu wa Manispaa ya Ubungo mh Boniface Jacob

Hata hivyo haisemwi kama Tundu Antipas Lisu ana Mpango gani mwaka huo 2025

Ilitegemewa Zitto Kabwe wa ACT wazalendo naye angegombea lakini kwa sasa chama chake kinaunda Serikali kwa ubia na CCM hivyo Utamaduni wa chama tawala wa fomu Moja unawahusu na Wao

Jumaa kareem!
 
Si ana sifa zote shida iko wapi?
 
2025 hakuna UCHAGUZI.

Tutakuwa ktk hatua za mwisho kukamilisha upatikanaji wa KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

2026 ndo mwaka wa KATIBA mpya. Ameeen.
 
Hujachoka kuleta tu uzushi twako Nini ulashaletaga mwingine hapa au umesahau msigwa kugomgea urais kupitia Chadema 2025 au mwaka huo wanachama wote wa Chadema watagombea urais nini wewe jonh
 
Kwa wana Sacco's wa mtaa wa ufipa lolote kwao ni sawa sitashangaa wakimsimamisha mdude kuwa mgombea wao
 
Back
Top Bottom