Wanabodi,
Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!,
Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo...
Wanabodi,
Baada ya kutokea lile sakata la kumtimuliwa ZZK ndani ya Chadema kinyume cha sheria, taratibu na kanuni za Chadema, nilisema humu kuwa kitendo hicho, ni creation of unnecessary "bad...
Akihojiwa na Wasafi Media Mzee Ulimwengu amedai kwamba , Waziri Mkuu wa Wakati ule Joseph Warioba na Msaidizi wake Charles Kileo ndio walimfuata na kumuomba awe DC , hakuomba hiyo kazi, Hii maana...
Nimetafakari sana kuhusu Jambo hili na hasa Wadanganyaji wenyewe kuwa viongozi wa juu wa Chama, akiwemo Zuberi Zitto, sijaelewa hasa LENGO LAO LA KUDANGANYA JAMBO LINALOFAHAMIKA.
Ni kweli kabisa...
Waziri anazungumzia nishati safi huku akijuwa pamoja na kutoa hiyo mitungi yake ya gesi ajue kuwa itageuzwa kuwa viti vya kukalia kwani gesi haikamatiki bei ipo juu.
Kama asingekuwa anadanganya...
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni.
Kinateua Wenyeviti wa Serikali za...
Katiba ya chama chetu haisemi kwamba tusitie nia au tumuachie aliyepo bila kumpa changamoto yoyote! Hapana! Tutashindana ili tumpate aliye bora! Mimi sitasubiri 2030, nitapambana na Samia 2025 ili...
Wakuu, Mohamed Mchengerwa, Waziri Mwenye Dhamana ya Sanaa na Michezo Nchini.
Mhe , Mchengerwa. Ndio Waziri anaetembea na Ulinzi au Wasaidizi Kutoka PSU.
Kokote anakokuwa Mchengerwa Ujue Kuna...
Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa...
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila...
Kuna wakati nilitembea nchi fulani nje ya hapa. Kulikuwa na shughuli iliyohusisha watu kutoka nchi mbalimbali . Tukiwa pale wenzetu wakenya na waganda waliokuwepo walionekana kutokuwa karibu na...
Mbunge wa CCM ameibua ufisadi na wizi unaofanyika nchini pale bungeni.
Ni muendelezo wa ufisadi chini ya utawala wa CCM.
Badala ya wabunge wenzake wa CCM kukemea huo wizi wao wakaishia kucheka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03...
Wabunge Miraji Mtaturu, Innocent Bilakatwe na Stella Fiyao wamesema Kanuni zinazotungwa na Mawaziri haziendani ya Sheria zinazopitishwa Bungeni hivyo kuibua malalamiko ya Wananchi.
Mtaturu...
Kama kuna taasisi ya Umma amvbako nidhamu ji zero basi ni Police. Hawa hamaaa ni watu wa harakati za upigaji tu.
Kukamatwa wanasafirisha Wahamaiaji hii ni ndogo sana kwao, hawa wanafanya biashara...
Rais Samia, Mama yetu mpendwa nakuomba tafadhali sana kuachana na huo mradi unao endelea hivi sasa jijini Dar es salaam mradi wa BRT. Huu mradi Mama, kwa idadi ya wakazi waliopo hivi sasa Dar na...
Heshima kwenu Wakuu,
Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali
"Naomba...
Mh. Rais Samia ,
Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.
Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu...
Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.