Chuki na uoga wa CCM kwa CHADEMA ni zaidi ya chuki na uoga wa Mkoloni kwa TANU ya Nyerere

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,640
2,702
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni.

Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019).

Kinateua Wabunge na Madiwani kwa Hofu ya ukifanyika Uchaguzi watachaguliwa Wagombea wa Chadema (Uchaguzi Mkuu 2020)

LEO pale Morogoro JESHI la POLISI Limezuia Magari yaliyokuwa yamembeba KATIBU MKUU wa Chadema yasipite ili hali Magari mengine yanapita kwa kisingizio cha eti Viongozi wa Jeshi la Polisi wana Kikao Hotelini.

Barabara ni MALI ya WALIPA KODI na sio Mali ya CCM iweje Chadema wazuiwe KUPITA?

CHUKI na UOGA wa CCM kwa CHADEMA ni ZAIDI ya CHUKI na UOGA wa MKOLONI kwa TANU ya NYERERE.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
16,548
36,815
Bila kuchapana malalamiko haya hayatakoma. Na malalamiko haya yataimbwa na kila mtanzania, awe ni mwanaccm ama mwanachadema.

Amini! Amini! Nawaambieni, hakuna aliye salama kama demokrasia.
 
Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
32,038
41,014
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni
kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa Hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)
Kinateua Wabunge na Madiwani kwa Hofu ya ukifanyika Uchaguzi watachaguliwa Wagombea wa Chadema ( Uchaguzi Mkuu 2020)
LEO pale Morogoro JESHI la POLISI Limezuia Magari yaliyokuwa yamembeba KATIBU MKUU wa Chadema yasipite ili hali Magari mengine yanapita kwa kisingizio cha eti Viongozi wa Jeshi la Polisi wana Kikao Hotelini.
Barabara ni MALI ya WALIPA KODI na sio Mali ya CCM iweje Chadema wazuiwe KUPITA?
CHUKI na UOGA wa CCM kwa CHADEMA ni ZAIDI ya CHUKI na UOGA wa MKOLONI kwa TANU ya NYERERE
Uhai wa ccm unategemea kamba nyembamba sana ya polisi
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,577
3,173
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni.

Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019).

Kinateua Wabunge na Madiwani kwa Hofu ya ukifanyika Uchaguzi watachaguliwa Wagombea wa Chadema (Uchaguzi Mkuu 2020)

LEO pale Morogoro JESHI la POLISI Limezuia Magari yaliyokuwa yamembeba KATIBU MKUU wa Chadema yasipite ili hali Magari mengine yanapita kwa kisingizio cha eti Viongozi wa Jeshi la Polisi wana Kikao Hotelini.

Barabara ni MALI ya WALIPA KODI na sio Mali ya CCM iweje Chadema wazuiwe KUPITA?

CHUKI na UOGA wa CCM kwa CHADEMA ni ZAIDI ya CHUKI na UOGA wa MKOLONI kwa TANU ya NYERERE.
Hakika
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
102,119
179,438
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Mtutuwandei

JF-Expert Member
Jun 28, 2022
450
440
Tanganyika ilipewa uhuru mezani. Nchi kama Kenya, Zimbabwe, Msumbiji ndizo zilipigania uhuru.
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom