MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Kama kuna taasisi ya Umma amvbako nidhamu ji zero basi ni Police. Hawa hamaaa ni watu wa harakati za upigaji tu.
Kukamatwa wanasafirisha Wahamaiaji hii ni ndogo sana kwao, hawa wanafanya biashara haramu nyingo sana, ambazo hata raia wa kawaida anaogopa kuzifanya.
Lakaini cha kushangaza huwa wako bise kupanguana, ma RPC hii ndio IGP anayo imudu ila kiini cha tatizo hakiguswi kabisa.
Nina rafiki zangu wengi ni police huwa nawaza inawezekana vipi make hata nikiwa nao story zao ni mikakati ya kupiga pesa kihalamu tu.
Na wana syndicate za kufa mtu, hao walio kamatwa unaweza kuta wana mabaso wao poa wa juu zaidi ambao hupelekewa mgao usidhani wako wenyewe sema watatoleaa kafala wenyewe ila ikifanyikana haki ni chain ya kutosha.
Huwa wanajitapa sana ni watu wa nidhamu ila ukweli hakuna nidhamu pale gizani jamaa wanafanya maovu mengi sana kuliko hata raia wa kawaida.