Jenerali Ulimwengu: Sikuomba Ukuu wa Wilaya bali niliombwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,377
Akihojiwa na Wasafi Media Mzee Ulimwengu amedai kwamba , Waziri Mkuu wa Wakati ule Joseph Warioba na Msaidizi wake Charles Kileo ndio walimfuata na kumuomba awe DC , hakuomba hiyo kazi, Hii maana yake ni kwamba hakwenda hata kwa Mganga kuloga kama wafanyavyo wateule wa sasa .

Anadai baada ya kuwakubalia akapelekwa Hai , 1990 akaletwa Ilala na baadaye Singida .

Toa maoni yako
 
Akihojiwa na Wasafi Media Mzee Ulimwengu amedai kwamba , Waziri Mkuu wa Wakati ule Joseph Warioba na Msaidizi wake Charles Kileo ndio walimfuata na kumuomba awe DC , hakuomba hiyo kazi , Hii maana yake ni kwamba hakwenda hata kwa Mganga kuloga kama wafanyavyo wateule wa sasa .

Anadai baada ya kuwakubalia akapelekwa Hai , 1990 akaletwa Ilala na baadaye Singida .

Toa maoni yako
Jenerali kama Jenerali😀
 
Back
Top Bottom