Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama mnadhani swala la Mvua ni hapa Tanzania tu Mapema leo Rais wa falme za Kiarabu (UAE) amewaomba waumini wote wa dini ya kiislamu kufanya Sala ya Istiqama kwa ajili ya kuomba Mvua siku ya...
4 Reactions
6 Replies
740 Views
Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala. Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kampuni za simu wanapandisha gharama za kununua MB kila leo bila taarifa Kuna nini lakini? . Pesa hakuna wafanybiashara wanapandisha bei za bidhaa na huduma kila siku . Tumekosa nini sisi...
1 Reactions
4 Replies
729 Views
Wakuu haya Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji. 1. Kwa hali ilivyo sasa hivi utegemezi wa Jeshi la Zimamoto pekee hautoshi kwenye majanga yanayohusisha ndege. Inashauriwa tuwe na mfumo wa...
1 Reactions
3 Replies
924 Views
Mkoa wa Kagera una Vikosi vya Majeshi Mkoa wa Kagera una Magari ya Jeshi makubwa Mkoa wa Kagera una Mitambo na Matreka makubwa Vyote hivyo vingekusanywa Eneo.la TUKIO na KUIVUTA ile NDEGE nina...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Nimeona Mapokezi ya Katibu mkuu wa Chadema mheshimiwa John Mnyika pale Morogoro na baadae Songwe na Rukwa, kiukweli amepata Mapokezi ya heshima na makubwa Kinachonishangaza Mnyika ana ushawishi...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari za kazi ndugu wadau.Napendekeza CAG aondolewe kwenye mfumo na nafasi yake ichukuliwe na wizara zenyewe ziwajibike kwa bunge. Ofisi ya CAG kwa sasa imejiingiza kwenye ufisadi na hakuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Magufuli achafua hali ya hewa Dar WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amechafua hali ya hewa na kuingia kwenye mgogoro na wakazi wa Kigamboni, Dar es Salaam baada ya kuwaeleza kuwa ni lazima...
0 Reactions
195 Replies
29K Views
Kufuatia sakata la Bodi ya Mkopo linaloendelea Bungeni, Mbunge huyu amemtaka Waziri wa Elimu kujiuzulu kwa kosa la kulidanganya Bunge huku akishangiliwa na wabunge wengi. Hii inafuatia ripoti...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Naona ameshaanza kutema cheche viongozi mbalimbali wenye ukwasi usioeleweka wameshaanza kuhofia akaunti zao na mali nyingine zilizopatikana kwa miujiza! Kiujumla rais anayebana matumizi na...
3 Reactions
8 Replies
728 Views
UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
RC Chalamila kwa niaba ya Waziri mkuu amempa Kiongozi wa waokoaji wa ndege ya Precision Air ambaye ni mvuvi zawadi ya tsh 1,000,000 ( milioni Moja) Chalamila amesema pamekuwepo na mkanganyiko wa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani Jamhuri October 26, 2021 Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono...
75 Reactions
526 Replies
36K Views
Kwanza napongeza Kwa kumpa ajira hiyo mliyo mpa. Mh Raisi Mimi sifileo mwaka 2021 nilibahatika na kuvuka maji kutoka mwanza mpaka ukerewe,baada ya ukerewe nikaenda mpaka kisiwa Cha Ghana, baada ya...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
"MH JAJI , NAOMBA TURUDI KULE KWENYE CHAMA TUKAJADILI TUKAYAMALIZE " Hivi ndivyo alivyoomba Msaliti Nusrat Shaban Hanje baada ya kushindwa kuthibitisha namna alivyopelekewa fomu gerezani na...
43 Reactions
183 Replies
18K Views
Hivi ni nani ataamini tena usalama wake akiwa hapa kwetu iwapo atapata ajali kwa uokoaji kama ule wa ajali ya Precision Air Bukoba? Kwanza ile sio ajali bali ni Water landing ambayo kwa wengine ni...
0 Reactions
6 Replies
689 Views
Back
Top Bottom