Chadema imesema ajali ya Ndege ya Precision Air imesababishwa na Uzembe, Uduni wa Uwanja, Kukosekana mawasiliano na nyinginezo
John Mrema ameitaka kampuni ya Kimataifa inayokuja kuchunguza...
Kutokana na kupungua kwa maji katika Mto Ruvu ambao unatumika kusambaza maji katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani na mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameiagiza DAWASA...
Katika hali isiyo ya kawaida tumekuwa tunakaa na watoto wetu nyumbani ambao wanasifa ya kujiunga chuo kikuu au ameisha chaguliwa kujiunga chuo kikuu tayari lakini hajawa na uhakika wa kupata mkopo...
Nashangazwa sana na hii phenomena ambayo ni kinyume kabisa na hali halisi ya mambo kuhusiana na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zilizoendelea Duniani kama vile Marekani,Ulaya na hata baadhi...
Hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho, Kila kitu kina mwisho wake, Lakini mwisho mkuu wa vitu vingi ni kufa au kusahaulika kabisa
Mimi ni mwana ccm lakini CCM yetu ni ile ile, Ni ile ile iyojaa utu na...
Waziri mkuu mh Majaliwa yuko Bukoba kwa dharura kufuatia Ajali ya ndege ya Precision Air
Mh Majaliwa amesema Rais Samia anatoa pole nyingi kwa Wana Bukoba kufuatia Ajali hiyo
Uchunguzi...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote...
Jaji anayesikiliza Kesi ya Halima Mdee na wenzake amesema Mahakama inafurahishwa na usuluhishi nje ya Mahakama hivyo ikimpendeza Wakili Kibatala aongee na CHADEMA kukidhi ombi la Nusrat Hanje...
Barua hii ni ya wazi Kwa Mh Rais wa Tanzania!
Nianze Kwa kutoa pole Kwa wahangabwote wa ajali ya ndege,pili nitoe kongore Kwa wajomba na Baba zangu Wana kagera Kwa wokozi wao hakika...
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord...
Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya.
Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi?
Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa...
Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya...
Kwa wale wasiofahamu, kitengo cha maafa na uokoaji kipo chini ya Waziri Mkuu. Uzembe ule ulioonekana katika uokoaji, kiasi cha wavuvi kuonekana wana msaada mkubwa kuliko Serikali, ni kushindwa...
Serikali imeziagiza halmashauri zote kujenga vyumba vya kujisitiri kwa wanafunzi wa kike ili kuwasaidia wakati wakiwa katika hedhi na hivyo kutokosa masomo.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba...
07 November 2022
Sharm El Sheikh, Egypt
MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria...
Nimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.
Baada ya Nusrat Hanje...
Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata...
Nchi yetu imefanya kosa kubwa sana kuwazuia wapinzani wasifanye mikutano ya kisiasa, matokeo yake ndio haya kila tukio likitokea wanaligeuza jukwaa la siasa.
Imetokea ajali wao wamegeuza mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.