Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Bungeni Dodoma! Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge" Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa" Je! Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Tarehe 06 Novemba 2022 Tanzania iliingia tena kwenye majonzi na simanzi kubwa baada ya ndege ya Precission kuanguka ziwani ilipokuwa inataka kutua uwanja wa Bukoba. Tumepoteza Watu 19 huku kukiwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu. Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa. === Picha: Rais Samia Hassan Suluhu Rais...
13 Reactions
98 Replies
7K Views
Wakati wa Tetemeko Magufuli alilaumiwa kwa kila namna ili wanabukoba wamchukie. Hili la ndege lawama na kauli sio kali. Waliokuwa wanamchafua Magufuli ni CCM wenzie na wengine mama aliwapa mkono...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwanaume kuwa shoga sio jambo njema kabisa ni jambo la aibu MUNGU mwenyewe amekataa jambo na akasema ni chukizo kwake lakini kuna mapanya fulani uko juu wanajifanya wao wana mjua Mungu zaidi au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu. Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi Hayati Magufuli aliazimia...
14 Reactions
51 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Grace Tendega amehoji ni kwa nini Serikali iliamua kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji wa Serikali kwa uwazi wakati silaha kubwa ya kupambana na rushwa ni uwazi. Tendega...
1 Reactions
1 Replies
761 Views
US Airways Flight 1549 was a regularly scheduled US Airways flight from New York City (LaGuardia Airport), to Charlotte and Seattle, in the United States. On January 15, 2009, the Airbus A320...
6 Reactions
94 Replies
5K Views
Kufuatia VIFO vya Abiria 19 wa Ajali ya Ndege iliyotumbukia Ziwa Victoria Mashuhuda wa Ajali hiyo wanasema kulikuwa na UZEMBE Mkubwa wa UOKOAJI toka Ajali ilipotokea. Uzembe huo ni pamoja na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni aibu..Wavuvi wameokoa Manusura,Serikali imeopowa Marehemu! Je! Kuna "Royal Tour" au "Roho Tua"? Kumbukizi. Mei /21/1996. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuzama ndani ya Ziwa Victoria Siku ya...
1 Reactions
5 Replies
843 Views
Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Magufuli alituvunja miguu na kutuibia kwa pamoja. Serikali a Magufuli ilikopa kuliko zaidi ya kiwango kilichopitishwa na Bunge. Bado anayafukua makaburi ya deni la Makinikia ambalo Kabudi alidai...
20 Reactions
76 Replies
5K Views
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo. Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza? Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku...
5 Reactions
73 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/2037765/#post-44241942 ""Yanahitajika mabadiliko ya fikra tu;Wananchi wakiwa na fikra chanya, matokeo yake vyombo vya dola, wanasiasa na viongozi watabadilika...
1 Reactions
0 Replies
425 Views
Back
Top Bottom