Namuona Rais William Ruto kama JPM aliyechangamka

Namuona Rais William Ruto kama JPM aliyechangamka

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,979
Reaction score
4,912
Naona ameshaanza kutema cheche viongozi mbalimbali wenye ukwasi usioeleweka wameshaanza kuhofia akaunti zao na mali nyingine zilizopatikana kwa miujiza!

Kiujumla rais anayebana matumizi na kusaidia wananchi wake mimi huwa namuunga mkono mojakwamoja. Nchi haiwezi kuendelea kwa kutapanya fedha za umma.

3087AACC-1EF8-4C48-9E61-FB919CE50B84.jpeg
540F9251-8029-455B-9C9E-20D7850BE7FD.jpeg
 
Naona ameshaanza kutema cheche viongozi mbalimbali wenye ukwasi usioeleweka wameshaanza kuhofia akaunti zao na mali nyingine zilizopatikana kwa miujiza !
Ofcourse the end Justifies the Means...

Lakini Ukwasi wake unaeleweka !!!????; Hawa Wanasiasa wa Sasa Duniani Always Looks After Numero Uno!!!

Again the end Justifies the Means kama anayofanya yatanufaisha wengi, hata kama kuna ka-Hypocrisy ndani yake hatuna budi kufunika Kombe....
 
Naona ameshaanza kutema cheche viongozi mbalimbali wenye ukwasi usioeleweka wameshaanza kuhofia akaunti zao na mali nyingine zilizopatikana kwa miujiza!

Kiujumla rais anayebana matumizi na kusaidia wananchi wake mimi huwa namuunga mkono mojakwamoja. nchi haiwezi kuendelea kwa kutapanya fedha za umma.

View attachment 2409444View attachment 2409445
Ndo maana CDM ilichagua mapema upande wa Odii,walinusa atakuwa jiwe.

Uncle hajafa, ameibukia Kenya, soon utamwona tena magogo na chamiwino.
 
aeleze kwanza yeye pesa/ ukwasi wake aliupataje?
isije ikawa kuchezana shele kama bwana yule
Anatafuta vyeti feki lakini fulani anamwambia chapa kazi hata kama una ZERO mm sijali naangalia kazi tu.
 
Rais wa kuchaguliwa na wananchi raha sana.Huwa wanafanya kazi zinazowagusa wananchi tofauti na wale wanaorithi.Katiba ya Tanzania ibadilishwe ili rais akifariki makamu arithi miezi mitatu na kuitisha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom