crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Kufuatia sakata la Bodi ya Mkopo linaloendelea Bungeni, Mbunge huyu amemtaka Waziri wa Elimu kujiuzulu kwa kosa la kulidanganya Bunge huku akishangiliwa na wabunge wengi.
Hii inafuatia ripoti iliyoundwa na Bunge kuwahoji wakuu wa bodi ya mkopo kwa tuhuma za kukaidi maagizo ya Serikali.
Ripoti hiyo haijabaini makosa ambayo Profesa Mkenda amewatuhumu na hivyo kuzua tuhuma za Waziri huyo kulidanya Bunge.
Huku akishangiliwa na wabunge wengi amemtaka Waziri huyo kuliomba ladhi Bunge, watanzania na kujitafakari kama bado anatosha kuhudumu katika nafasi hiyo.