Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,558
217,851
"MH JAJI , NAOMBA TURUDI KULE KWENYE CHAMA TUKAJADILI TUKAYAMALIZE " Hivi ndivyo alivyoomba Msaliti Nusrat Shaban Hanje baada ya kushindwa kuthibitisha namna alivyopelekewa fomu gerezani na kuijaza ili awe mbunge.

Alikuwa akihojiwa na Wakili Msomi Peter Kibatala.

Pamoja na hayo Nusrat amedai Mahakamani kwamba Vyama vya siasa vinafifisha ndoto za vijana kwenye siasa (Hakufafanua)
 
Tuwe wakweli.

Hawa mabinti waliingizwa bungeni kwa mtutu wa bunduki.
Hawakuwa na uwezo wa kukataa kwani hatujui vitisho walivyopata.

Sote tunaujua utawala uliopita.
Hawa walitakiwa wanyenyekee mapema tu bahati mbaya walipewa kiburi na Ndugai.
 
"MH JAJI , NAOMBA TURUDI KULE KWENYE CHAMA TUKAJADILI TUKAYAMALIZE " Hivi ndivyo alivyoomba Msaliti Nusrat Shaban Hanje baada ya kushindwa kuthibitisha namna alivyopelekewa fomu gerezani na kuijaza ili awe mbunge .

Alikuwa akihojiwa na Wakili Msomi Peter Kibatala .

Pamoja na hayo Nusrat amedai Mahakamani kwamba Vyama vya siasa vinafifisha ndoto za vijana kwenye siasa ( Hakufafanua )
Hapo tayari kazi imeisha
 
Screenshot_20221104-133303_WhatsApp.jpg
 
Tuwe wakweli.
Hawa mabinti waliingizwa bungeni kwa mtutu wa bunduki.
Hawakuwa na uwezo wa kukataa kwani hatujui vitisho walivyopata.

Sote tunaujua utawala uliopita.
Hawa walitakiwa wanyenyekee mapema tu bahati mbaya walipewa kiburi na Ndugai.
Nimemsikiliza hapa, ni Mtu anayeonyesha kujutia kilichotokea.

Lakini binafsi naona amechelewa kujuta maana nafasi ya kuomba msamaha alikuwa nayo kabla.
 
"MH JAJI , NAOMBA TURUDI KULE KWENYE CHAMA TUKAJADILI TUKAYAMALIZE " Hivi ndivyo alivyoomba Msaliti Nusrat Shaban Hanje baada ya kushindwa kuthibitisha namna alivyopelekewa fomu gerezani na kuijaza ili awe mbunge .

Alikuwa akihojiwa na Wakili Msomi Peter Kibatala .

Pamoja na hayo Nusrat amedai Mahakamani kwamba Vyama vya siasa vinafifisha ndoto za vijana kwenye siasa ( Hakufafanua )
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema , MALAYA ni MALAYA tu........!!
 
Back
Top Bottom