Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Kampuni za simu wanapandisha gharama za kununua MB kila leo bila taarifa
Kuna nini lakini?
.
Pesa hakuna wafanybiashara wanapandisha bei za bidhaa na huduma kila siku
.
Tumekosa nini sisi wananchi
Bunge mko kimya
Serikali kimya!!
Daaaaa!!!!!
Kuna nini lakini?
.
Pesa hakuna wafanybiashara wanapandisha bei za bidhaa na huduma kila siku
.
Tumekosa nini sisi wananchi
Bunge mko kimya
Serikali kimya!!
Daaaaa!!!!!