Wavuvi Waliokoa Manusura. Serikali Iliopoa Marehemu

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,551
11,881
Ni aibu..Wavuvi wameokoa Manusura,Serikali imeopowa Marehemu!
Je! Kuna
"Royal Tour" au
"Roho Tua"?

Kumbukizi.
Mei /21/1996.
Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuzama ndani ya Ziwa Victoria Siku ya Jumanne alfajiri . Kuzama kwa meli hiyo kulisababisha watu zaidi ya 800 kupoteza maisha baada ya kufa maji.

18 September2018
Watu 224 walithibitishwa kufa kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere,huko Ukara/Ukerewe.katika Ziwa Victoria.

06/November/2022
Ndege ya Precision Air ilipata ajali na kusababisha vifo vya watu 19 ndani ya ziwa victoria huko Bukoba,umbali mfupi kutoka fukwe ya ziwa hilo.

Waliostahili kufanya uokozi Bukoba,walifika eneo la tukio wakiwa ba Simu za Bei ghali,pamoja na Magari ya Bei ghari. Lakini bila vifaa wala mbinu za uokozi.

Badala yake wavuvi ndio wakatumia Mitumbwi yao Duni na kasia zao na hatimae kuweza kuokoa maisha ya baadhi ya abiria 26,waliokuwemo ndani ya ndege hiyo.

Baadae masaa zaidi ya manne mpaka sita,ndio Serikali ikafanikiwa kuopowa miili ya Marehemu waliokuwa wamefia ndani ya ndege hiyo.

Mara zoote serikali inaishia na Ahadi, Porojo na Mazishi ya kisiasa.
Baadae Business as Usual...

Ni aibu kuitangaza Royal Tour( Roho Tua) kwa mbwembwe Duniani.Huku tukionyesha vituko Duniani.
Kwenye sekta mtambuka kama ya Usafiri wa Anga,ambayo ndio kiunganishi muhimu na kikuu cha Utalii kwa nchi yetu!

Hivi kwa hili la Precision Air, tumeitangazia nini Dunia,kuhusu sekta ya utalii?

Kituko zaidi,Serikali inatoa agizo kwa kijana shupavu,aliyetumia mbinu zake binafsi na kufanikiwa kuokowa manusura kwenye ajali hiyo.

Kwamba akapewe mafunzo na wale walioshindwa kuokoa wahanga wa ajali.

Hii imekaaje?
Ni lini na wapi serikali itaamua kuimarisha utayari wa vitengo vya uokoaji wa ajali kama hizi?

Hivi boat za Uokozi za Hiyo inayoitwa Marine Police zilienda wapi?

Mbaya kabisa,Rais wetu anaishia Twitter kwa Rambirambi na kisha kuzamia Misri.

Kati ya V8 na vifaa vya uokozi,kipi ni kipaumbele cha taifa?

Je!
Hata waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mh Byabato.....

Hakuona Umuhimu wa kutuma kikosi maalum cha Marine Navy na Helkopta za Jeshi kuwahi eneo la tukio.

Badala yake wakategemea vifaa vya kutoka GGM-Geita,Kagera Sugar na SONGORO MARINE kutoka Mwanza?

Je!
Watu wanapopiga kelele za Serikali na waziri husika kuwajibika wanakosea?
Haya bhana....

Alamsikhi!
10101
 
Nimependa Hapo 0101

Lakini mlimpa Muda wenyewe na yeye kawaonyesha ule Muda mlikosea kumpa!!

Yaani mngeendelea na operation mlioianza ile!!

Kilio na maumivu kila kona!

NDIO kusema mmtoe kafara Waziri mwenye dhamana HALAFU Mwenyekiti mmuache!?,je kama yaliyotokea Yana Baraka za Mwenyekiti mtamtoaje Waziri pekee!?

Kwani mamvi alipotolewa kafara ufisadi uliisha!?si Hadi leo unaimbwa!?

Tuwe siriazi ni aibu kuuimba wimbo wa aina Moja wa uzembe na kutowajibika plus ufisadi tangu enzi za chama kimoja na nyie 0101 mpo!tena tunaimba watu wazima sio WATOTO!!

Haya yanayotokea mmeyalea mlipaswa nyie 0101 msimamie kuanzia fedha zinavotumika Hadi miradi na mikataba Hadi vetting ya wabunge na madiwani sio kuwaaachia chama Tawala wachaguane kwa kushindana kwa takrima na Rushwa ILI mpate cream ya watu waadilifu,nyie mkawaachia wanamtandao waamue ubunge,udiwani !nyie mkabaki na urais pekee na kuacha chama kiamue hatma ya nchi kwa kisingizio eti kitabu kinawalinda kufanya hayo!!

Kitabu ni nini HASA kinapotumika kuhujumu fedha za walipa Kodi na maslahi ya TAIFA!???

Ningekuwa member wenu sidhani kama ningevumilia wizi,ujanja ujanja kisa eti naheshimu kitabu!kuna watu wangezikwa WAKIWA hai kisa wametafuna senti hamsini ya serikali!!simple tu!!

Kuna vitu vinakera Sana HUMU, Basi tunavumulilia tu!!

MUNGU ibariki Tanzania nchi yangu niipendayo!!
 
Uko sahihi kabisaa!

Tatizo kubwa la watanzania ni utanzania wao wenyewe!

Tatizo kubwa la watanzania ni "watangaza nia"wao wenyewe!

Sasa hivi wenye nia na kutangaza "Nia" wako busy wanakusanya "Makuta" au "Faranga"
Za kuwakaangia watanzania kwa mafuta yao wenyewe!

Tatizo la watanzania,ni ujinga wa kukubali kutekwa na kundi dogo,linalotumia Katiba mbovu,huku likitawala kwa ubovu na mabavu!

Amkeniiiiii!!!!!

Mkuu

Baada ya katiba mpya kupatikana ifikie hatua nyie 0101 Ndio muwe mnawafuuata watu wenye capacity na kuwaambia tunataka wewe fulani utumikie TAIFA lako kwa NAFASI hii kachukue fomu!

Na wale wasio na capacity lakini wamechukua fomu waambiwe ukweli KUWA wewe hufai KWASABABU ya hili na lile hata kama Wana ushawishi NDANI ya CHAMA!!

Angalau tutafika kule tunakoota kufika! KWASABABU kuziweza fitina NDANI ya CHAMA sio tiketi ya UWEZO wa mtu kwa field husika anayoipambania!!
 
Ukisikia kule Duniani kuna hii kitu,
"Political Assassinations"
Maana yake huwa ni kuondoa Madhara kwa jamii,kabla hayajawafika walio wengi.

Kwa Manufaa ya Ya Umma!

Hiyo hutokea pale ambapo hao watia nia(ambao sio sahihi).
Wanaonekana kushindikana kwa njia halali
 
Back
Top Bottom