Huyu mtazamo wake ni sahihi, Wote kwa pamoja tujitafakari. Mabadiliko huanza na wewe

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007

""Yanahitajika mabadiliko ya fikra tu;Wananchi wakiwa na fikra chanya, matokeo yake vyombo vya dola, wanasiasa na viongozi watabadilika kwa kuwa wote hutokana na wananchi.;Kwa sasa asilimia ya wananchi wana fikra za kitumwa za kusifu na kuabudu wanasiasa na viongozi;Vivyo hivyo vyombo vya dola na matokeo yake hata pale penye dharura ya kuokoa, maamuzi ya haraka hayachukuliwi zaidi ya kuwaza viongozi wasio wataalamu watoe maelekezo au kufika eneo la tukio.Kipaumbele wakati wa majanga ni kuwezesha timu za uokozi kwa hali na mali vikiwepo vifaa"".

End of quote.
 
Back
Top Bottom