Jeshi la Kujenga Taifa kufukuza mashoga waliokuwa kwenye mafunzo, tunasubiri jibu la USA

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mwanaume kuwa shoga sio jambo njema kabisa ni jambo la aibu

MUNGU mwenyewe amekataa jambo na akasema ni chukizo kwake lakini kuna mapanya fulani uko juu wanajifanya wao wana mjua Mungu zaidi au wao ndo Mungu wa hii dunia kuhalalisha alicho kikataa Mungu

Hile nchi aina mwisho mzuri

Lengo lao au furaha yao ni kuona wanawake wamekuwa juu zaidi na wanaume wamekuwa chini
Just imagine mwanaume akiwa shoga tabia zake ni za kike

Na mwanamke akiwa msagaji tabia zake ni za kiume tunapotea jamani Mungu tusaidie
 
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
Ubalozi wa Marekani utatoa majibu
 
Mwanaume kuwa shoga sio jambo njema
Kabisa ni jambo la aibu
MUNGU mwenyewe amekataa jambo na akasema ni chukizo kwake lakini kuna mapanya fulani uko juu wanajifanya wao wana mjua Mungu zaidi au wao ndo Mungu wa hii dunia kuhalalisha alicho kikataa Mungu

Hile nchi aina mwisho mzuri

Lengo lao au furaha yao ni kuona wanawake wamekuwa juu zaidi na wanaume wamekuwa chini
Just imagine mwanaume akiwa shoga tabia zake ni za kike

Na mwanamke akiwa msagaji tabia zake ni za kiume tunapotea jamani Mungu tusaidie
Ulivhokiandika unakijua wewe binafsi.

Kichwa cha habari yako kimekaa "Bottom-Up"

Muwe mnajipanga kabla ya kuwasilisha.
10101
 
Tueleze kwanza habari inahusu nini,?wapi nani hakusika,kivipi,sasa wewe umeanza kutoa maoni yako binafsi hata hatujui nini kinaendelea
 
Mwanaume kuwa shoga sio jambo njema
Kabisa ni jambo la aibu
MUNGU mwenyewe amekataa jambo na akasema ni chukizo kwake lakini kuna mapanya fulani uko juu wanajifanya wao wana mjua Mungu zaidi au wao ndo Mungu wa hii dunia kuhalalisha alicho kikataa Mungu

Hile nchi aina mwisho mzuri

Lengo lao au furaha yao ni kuona wanawake wamekuwa juu zaidi na wanaume wamekuwa chini
Just imagine mwanaume akiwa shoga tabia zake ni za kike

Na mwanamke akiwa msagaji tabia zake ni za kiume tunapotea jamani Mungu tusaidie

Umekosa cha kufanya unakuja kuandika content isiyo eleweka
Shame on you
 
Huyu aliyeandika bila shaka kasikia bila kuchunguza ,kachunguze vizuri halafu uandike tena
 
Wawatimue kabisa ,wabaki huku huku kwenye kukata miuno usanii na utangazaji knjanja

Ova
 
Back
Top Bottom