Je! Nini Kimewazindua Wabunge CCM Ghafla?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?

Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.

Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"

Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?

Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"

Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?

Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!

Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!

Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!

Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
 
Ukiona ccm wenyewe wanaparuana, just let them. Utakuta kuna sehemu maslahi yao yameguswa bila wao kutaka. Ccm kazi yao ni kusifu, kuabudu na kusujudu.
True Said Mkuu!
Yetu macho!
 
Kuna mpango wa kuwaondoa wote walioingia Kwa mbeleko ya Maghufuli, kuwarudisha walioonewa wakatupwa nje , sasa kila mmoja ameamua kujitetea kivyake
Hilo nalo jambo!
Kwa CCM yote yanawezekana!
 
Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?

Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.

Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"

Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?

Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"

Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?

Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!

Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!

Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!

Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
Wabunge wa CCM Wamejikuta wakipanga bajeti na fedha hazifiki walikopangia.

Pia wamejikuta wanauwezo wa kudadavua mambo kuliko maza

Pia majimboni njaa kali wapiga kura wamehamia nyumbani kwa Wabunge wao kuomba misaada
 
Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?

Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.

Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"

Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?

Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"

Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?

Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!

Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!

Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!

Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
Nani hata anafuatilia hilo bunge la majizi ya kura hadi udhani kuna watu wanajua kuwa wameamka? Na kwa taarifa yako hawajaamka chochote, bali wameona hawana mvuto, hivyo wanadhani wakiigiza wamejitambua ndio watapata mvuto.
 
Mimi ninachokiona ni upinzani mpya ulioibuka ndani ya CCM yenyewe.
Baina ya makundi Mawili makuu!

"Wapiga Deal" dhidi ya
"Wapiga kazi"

"Walamba Asali" dhidi ya "Walamba Shubiri"

" Walala Hai" dhidi ya
"Walala Hoi"

That's All!
 
Upinzani ndani ya CCM ni furahisha genge maana wote wanategemea mbeleko ya dola, na wala sio ushawishi wa kisiasa kwa wananchi. Kundi lenye ushawishi wa vyombo vya dola ndio litaibuka washindi sio kwa uwezo wa kisiasa, bali ni jinsi wanaweza kutumia fedha kuinyamazisha dola, na kuhonga makundi kadhaa ya wananchi. Na kwenye hili, kundi la Msoga gang litaibuka kidedea kupitia fedha za Rost Tamu. Hao washamba wa sukuma gang watategemea ukabila zaidi, na huko hawana uhakika maana wapinzani pia wana ushawishi.
 
Kumbuka kwenye shida kila mtu ana hasira!
Kadri shida inavyozidi kutamalaki,ndivyo hasira dhidi ya walamba asali na msoga gang inavyozidi kuongezeka.
Nimeogopa sana nilipoisikia clip moja huko YouTube inayotaja watu wa kutangulizwa akhera kwa manufaa ya Umma.

Ndio nimeelewa watu wejaa sumu kwa kiasi gani huko mtaani!
 
Huu ni wakati wa Simba na fisi kuchunga mbuzi na nyati ili wale nyasi na kunywa maji wanenepe! Ccm wanatumia shida za wananchi walizosababisha wenyewe kujijenga na kuwahadaa kuwa wanawasikia na kuwahudumia kumbe Nia Yao ni kurejea na kuchuma Kwa miaka mitano Tena! Usiwaamini ccm hata siku moja ni mafisi yasiyoshiba!
 
20221107_125657.jpg
 
Back
Top Bottom