Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mchague Paul N. Kawawa Mgombea Nafasi ya Mwenyekiti UVCCM - Mkoa wa Tabora
1 Reactions
4 Replies
995 Views
Msisitizo wa Rais Samia Suluhu ni 10% za mapato ya Halmashauri zitolewe kama mkopo kwa Vijana, wananawake na walemavu. Pesa hizo zinasaidia makundi hayo kujiajiri na kuendesha maisha yao ya kila...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Watawala na Watawaliwa:-"Inawezekana tatizo la panya kwa paka lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita! Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya. Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Kizazi cha kwanza cha kisiasa kilihusisha Wanasiasa waliopigania Uhuru wa Nchi zetu mbili Tanganyika na Zanzibar na baadae kutuunganisha kuwa Nchi Moja Kizazi cha pili kinahusisha Wanasiasa...
1 Reactions
8 Replies
713 Views
Hakika mpigania uhuru huyu ataendelea kuenziwa milele Pamoja na kwamba aliuawa kinyama na watu waliotumwa na wanaofahamika lakini jeshi la polisi lilijivika miwani ya mbao , Bali...
16 Reactions
59 Replies
9K Views
Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nyerere alitoa usemi wa " Bila CCM Imara nchi yetu Itayumba" akiwa kama mwasisi wa CCM Nawauliza Watu mlio neutral, Je kauli Hiyo ya Nyerere bado inaishi? Mlale unono
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri. Mara ya...
6 Reactions
128 Replies
11K Views
Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990. Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.
9 Reactions
88 Replies
11K Views
Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
I was listening to the key note speech by Prof. PLO Lumumba at the 3rd Anti-Corruption Convention that took place on 2nd December 2013 at Hotel Africana, Kampala, Uganda and I noted that it is an...
2 Reactions
12 Replies
11K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hao Makamanda niliowataja hapo juu japo walikuja baada ya mimi kurejea CCM hakika nawakubali sana Shujaa Magufuli alitamani sana awe nao Kikosini lakini misimamo yao isiyoyumba wala kuyumbishwa...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana...
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Habari za muda huu. Ni muda sasa nimekua nikifuatilia utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya 5 na kiukweli nimejiridhisha kwamba baadhi ya mawaziri hawako "active" kama uongozi wa juu wa nchi...
9 Reactions
161 Replies
14K Views
Back
Top Bottom